Si kila kitu ni kutumia vita

Si kila kitu ni kutumia vita

Kipstech

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
38
Reaction score
22
Its only wen you see a mosquito landing on yo testicles that you realize that there is always a way to solve problems without using violence.
 
Aisee nimeipenda sana hiyo kwa sababu INA ukweli ndani yake.
 
Naomba nieleweshwe zaidi hii Kitu huwa naisoma sana,hebu nidadavulieni Wakuu
 
Kwa kiswahili ni hivi,"Ni mpaka mbu atue mwenye pumbu zako ndipo utakapogundua kuwa sio kila tatizo linahitaji nguvu au ugomvi kulitatua"
Kwa maana nyingine ni kwamba itabidi umtoe mbu mahala hapo taratiibu na si kumtandika Kofi zito ili kuepusha kutojiumiza pumbu zako.
 
Hahahaaaaaa!! Sawa Mkuu nimeelewa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom