issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Migomo! migomo! migomo!
Wadau, migomo inapotokea sisi wa hali ya kawaida ndio tunaumia, ila wake zetu na madem zetu nao wakitugomea itakuwaje? Kazi zitafanyika kweli?