regnaldshirima
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 124
- 78
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao tumeishi na maumbile madogo(sio ya kiume) ya Mwili na maanisha machamkondi tumekuwa tukijitahidi kula sana kama ni mayai nasi tutataga sasa,kama ni nyama hata rangi zimebadilika,
kinachotuuma ni hawa tunaowasikia wanataka kupunguza uzito na unene wakati sie tunavihitaji
siwaje watupunguzie kama wanavyofanya watu wa damu salama na baridi
kinachotuuma ni hawa tunaowasikia wanataka kupunguza uzito na unene wakati sie tunavihitaji
siwaje watupunguzie kama wanavyofanya watu wa damu salama na baridi