Sijawahi kumuona miss chagga katika uhalisia ila kama ndiye huyu niliyemuona katika ndoto yangu aiseee natangaza nia ya kumuwania bila kushindwa.Ndoto imeanza mimi nikiwa nimeketi siting room ya...
Mjinga mmoojaaa mpuuzi mmoojaaa asiye na akili mmojaaaaa YUDA ISCARIOT.... Sijui kala maharage ya wapi yuuule... Kamuuza YESU KRISTO kwa wajinga wenzake waleeeee... wakamkamata YESU waleee...
Eti hivi ndivyo mahojiano yalivyoenda:
MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU...
Kama maisha ni mtihani mbona Past paper zake hazipatikani? Acheni uongo. Nimepekua vitabu vya Nyambari cjakuta past papers za maisha.:dance::thinking::majani7:
Ni muda sasa mkuu Baba V hajaonekana jukwaa hili na mengineyo. Yuko wapi mwanachama huyu? Kwa mwenye taarifa zake atufahamishe.
Karibuni jukwaa la siasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
[SIZE=3]Jf leo nimekasirika mpaka nataka kupasuka ilikuwa hivi,
WANA MEMBER
Kuna demu mmoja tulikuwa tunachati kama wiki moja na nusu hivi na tulishaonana zaidi ya mara tatu before...
Kila mtu humu anataka pesa, wengine tayari wamefanikiwa kuzipata kiasi na wengi wetu bado tunatafuta. Sasa nimebuni njia rahisi na nyepesi kwa kila mtu kujipatia pesa kwa urahisi zaidi. Nataka...
Rafiki yangu alinambia jana kuwa anataka kuoa nimsaidie kutafuta mke nikaona ni vyema nitoe taarifa hapa jukwaani ili kama kuna dada yupo tayari kuolewa ani PM aweke namba zake ili wakubaliane.
Habari Wana JF,
Unamkumbuka DJ Emperor wa BIRIGI Sound? Ebu Mchecki kwenye Picha akifanya yake MOTEL AGIP.
DJ EMPEROR AMESHAACHANA NA U-DJ KWA SASA NI CEO.
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema,
MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote
wasio zaa,mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata...
Msela mmoja alipata mgeni ambaye ni rafiki ya wa zamani waliesoma nae...kwa kuwa ilikuwa ni jioni ilibidi jamaa amkaribishe jamaa alale kwake ili kesho aendelee na safari yake..
xaxa msela kapanga...
Huu ni udaku full.
Ni mara nyingi ITV huwa wanampa airtime ya kutosha mzee wetu Mengi akiwa kwenye matukio mbalimbali.
Nawashawishi waandae kipindi maalumu cha kuonesha ndoa ya Mzee wetu...
Nilidhamiria kuandika series kuhusu kazi na majukumu ya Mods wa JF na umuhimu wao
kwenye online forum kama hii yenye wanachama zaidi ya laki tatu.
Madhumuni ni kutufanya tu-appreciate kazi zao na...
Kuna mambo wanakikundi ni lazima tuwekane sawa, imeniuma sana na hata jana nilitaka niwapigie wanagroup niwaeleze waangalie hili swala linaweza kukomeshwa vipi. Mimi naamini kundi liliundwa kwa...
Poleni wadau wa MMU,
Nimeona vema kuanzisha uzi huu ili wewe unaempenda mtu flani humu jukwaani ushushe nondo zako hapa kiroho safi kabisa mweleze hadharani kuonyesha jinsi unavyomkubali si...
Hii kitu nimeichunguza miaka mingi sana, ukienda hospitalini, madaktari wengi tena bora utakuwa wafupiiii, yaani wakati mwingine ukiambiwa huyo ndio anaenda kukuhudumia huwezi amini utadhani...
Hii ni shule inayopatikana katika Mkoa wa Mbeya ni kilometa 12 kutoka mji wa Tukuyu, kwa waliopita uko ukitoka Tukuyu unatembea mpaka karibu na makandana hospital unaacha barabara ya Kyela kushoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.