Ni bora ukutane na mtiti wa nyati au nyoka aina ya koboko?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu,

Mlishawahi kujiuliza kuwa ni bora ukutane na mtiti wa nyati au huyu mdudu nyoka aina ya koboko? We ungependa ukutane na yupi hapa?
 
Yaani mtu mzima kabisa na akili zako timamu umekaa na kutafakuri ukaona huu ndo uzi wa kuanzisha!!!! Shame on you!!! Mods mko wapi??? JF inachezewa namna hii!!! Piga ban hii kitu K4life.
 
Cool down bro! lakini hili si ni jukwaa la chit chat?
 
Ngoja kina dada waje utasikia bora wakutane na mdudu nyama kuliko nyoka au nyati
 
Gubu tu kwaiyo we ndio unaakili sana .. kukurupuka kuripoti nawe ni kilaza.
Go in mods or go back

Back
Top Bottom