dasenior
Senior Member
- Jul 24, 2012
- 138
- 57
Sijui ni nani aliyeanzisha hii siku ya kipumbavu ya wapumbavu?,Kila kitu unaweza kuona ni upumbavu tu,uongo tu.Hata ukiletewa taarifa za mkeo anakucheat jua ni uongo tu,ni upumbavu tu.Ni siku ya kuwa makini ikiwezekana zima simu halafu jifungie ndani(Ushauri wa bure) ili usimkie mtu wala kumsikiliza mtu maana kampa ni mwepesi wa hasira leo 01April itakufanya uweke kumbukumbu la Historia ya maisha...,Ninawatakia Apr fools njema na karibuni home kuna pilau.