F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,674
- 4,942
Salamu wakuu,
Hapa mtaani ninapoishi kuna kabinti nimekasotea sana kukatongoza mwisho wa siku kakanikubalia tuwe wapenzi, nikaanza kukomaa nako tukapatisha kama one week hivi kakaanza mara ooh 'darling i'm creditless & so far.
Kamanda nikawa najitutumua kiugumugumu kila nikiomba game analeta chenga kibao, off course kwao geti kali kiaina, sasa juzi kati mida ya saa 6 mchana kaka ntext "baby naomba nisaidie sh 50,000 kuna nguo nimetembezewa ni nzuri nataka niichukue kwa ajili ya mtoko wa pasaka."
Kamanda nikamwambia nakutumia baada ya nusu saa, kuna kazi imenkeep bize hapa, binti akareplay "thnx my dear, that y love u alot" binti akasubiri ikapta saa zima bila muamala kuthibitishwa, akanirukia kwa hewa na kunambia "mbona hutumi dear?, ninashida nayo ya muhimu sana naomba natumia please"
Nikamwambia kama ni ya muhimu sana njoo utanikuta sehemu flani uje tukutane nitakupatia, msichana akashtukia mchezo ikabidi aje na rafiki yake (shoga yake) tukutane pale nilipomwelekeza, wakati huo mfukoni kamanda nina sh 15,000 tu.