Nimehamia Tabata, kila mtoto ninaekutana nae ni kisu balaa, sijui kama nitapona mie

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wakuu,

Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
 
Wakuu,

Bhana mi nimetoka zangu hukooo Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na demu mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
Tabata Sehemu Gani?
 
Shetani kashawahukumu kifo wale wote wamchao Mungu ktk roho na kweli. Yaani wewe ni mali ya shetani ndio maana umepewa kipawa cha kuwa na moyo wa uzinifu muda wote!. Utanisaamehe sana maana mimi furaha yangu ni kutoa ya moyoni tu!, uzinzi kazi sana. Wabaya walikuwepo zamani kwa kukosa maarifa ya kidunia, kwasasa waliopewa maarifa ya kidunia utawaona wote wazuri. hata ukienda kwa pinda kule katavi utawakuta wazuri wengi tu
 
aiss nitakuja...ila huko naona wanawake bado wako nyuma sana...bado wanavaa chupi!!huku kwetu walishaacha kuzivaa kitambo...si unajua tena joto la dar!
hao wa huko ndo washamba, chupi inatia amsha amsha kwenye kuivua, mtoto kama hataki vile kumbe ndo anataka, unaishika mzee mzima unaishusha, raha ya chupi aivue mwanaume kwi kwi kwi tandale rahaa
 
hao wa huko ndo washamba, chupi inatia amsha amsha kwenye kuivua, mtoto kama hataki vile kumbe ndo anataka, unaishika mzee mzima unaishusha, raha ya chupi aivue mwanaume kwi kwi kwi tandale rahaa
aiss tandale nitakuja...
 
Wakuu,

Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
Kazaaa kaka ARV ni buree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom