47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu.Tamaa zingine acheni. Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.
Am done