Nimepambana na nyati live

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu,

Jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale Mikumi, nilikua Mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu nilishinda fight na nyati akatimua mbio.
 
itakua nyati uyu ambae anafanana na konyag na hyo mikumi itakua ya pale magomen
 
wakuu jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale mikumi, nilikua mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu nilishinda fight na nyati akatimua mbio
Mkuu una nyumba hapo mikumi barabarani au? Maana kila siku mikumi hufiki unapokwenda pia hatujui una kwendaa au unarudi?
 
Haha Yaani heading zako tu najua ni K 4 Life ,hivi unawazaga nini ??

Nyati alishaniulia ndugu yangu akamning'iniza kwenye mapembe ,na alikua na bunduki sasa wewe sijui umepambana nae vipi
 
Mkuu bila shaka Mbogo alikua Mbogo kisawasawa, wewe tuambie tu vizuri bila kumung'unya yaliyojiri
 
Back
Top Bottom