JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Maisha hayapendi ujinga: Mshahara ukiigia wiki ya kwanza unakula kuku Wiki ya pili unakula zao la kuku (mayai) Wiki ya tatu unaanza kula chakula cha kuku(mahindi, mtama) Wiki ya nne unakuwa kuku...
9 Reactions
23 Replies
345 Views
Wanatech karibuni kwenye uzi wetu mpya ambao utakuwezesha ku'share stori ama tukio lolote unalolikumbuka kipindi unasoma pale tech. Welcome Technical Boys.
4 Reactions
21 Replies
815 Views
Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi. Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao. Aya...
3 Reactions
55 Replies
509 Views
Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
18 Reactions
129 Replies
1K Views
Wakuu Aisee kuna huyu mwanangu mmoja yeye kila muda anatuma tu reels IG Hakuna kusalimiana wala kupeana updates ila muda wote ni reels, yaani ukifungua IG unakuta hundreds of reels ambazo...
2 Reactions
5 Replies
122 Views
Chokoza member yeyote JF uone reaction?
1 Reactions
33 Replies
303 Views
Katika miondoko ya pwani, wazee wetu husema: "Mwanamke ni siri ya nyumba, siyo dhoruba ya bahari." Lakini unajua maana halisi ya gubu la kike? Ni ile tabia ya mwanamke kugeuza nyumba kuwa uwanja...
16 Reactions
83 Replies
867 Views
Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu. Kwa maoni yako, ni imani au ushauri...
7 Reactions
24 Replies
342 Views
Guys Neema hajawahi na si mke wangu guys. Esta luxury tumepoteza mabasi Zaid ya 100 guys. Nampenda Oliver Twiga guys. Analowesha godoro guys.
3 Reactions
5 Replies
354 Views
Shalom Shalom taifa la Mungu. Leo natamani tupige mastory ya jiji la Dar es Salaam.Kwanza kabisa nataka kuweka wazi kwamba hii habari ni kweli ila angalizo ni kwamba kuna baadhi ya mambo kama...
41 Reactions
437 Replies
10K Views
Race ya wanaume halisi inateketea kwa kasi ya ajabu mno.. Haya mambo tulizoea kuyaona kwa akina mama tena wa Uswazi.. Sasa leo ni wanaume tena viongozi wa dini 🙌🏿🙌🏿🙌🏿...
7 Reactions
41 Replies
712 Views
Kiuhalisia hakuna uthibitisho wa kisayansi au wa kifizikia kwamba leo ni Jumatatu, kwani jina hili si sheria ya asili kama vile mzunguko wa dunia, bali ni makubaliano tu ya kijamii yaliyoundwa na...
13 Reactions
67 Replies
730 Views
Uzi unajieleza wakubwa.. Funguka utueleze ili tupate kujifunza. karibuni
8 Reactions
149 Replies
2K Views
Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO...
9 Reactions
64 Replies
801 Views
Wachaga ni wasomi sana lakini mbona siwaoni katika nafasi kubwa za uongozi?
9 Reactions
57 Replies
915 Views
At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
4 Reactions
30 Replies
462 Views
Aisee toka ni mdiskave huyu dada nimekuwa addicted to her songs.... Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online, Alafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa...
8 Reactions
40 Replies
363 Views
Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo...
2 Reactions
9 Replies
261 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…