de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,346
- 20,523
Aisee toka ni mdiskave huyu dada nimekuwa addicted to her songs....
Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online,
Alafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa what a satisfying Sunday this is...
Akiingiia shemeji yenyu namvuta kidogo namkumbatia ananiambia kwa kulalamika, "Gunner, niachie kwanza basi nipo tu utanila nikimaliiza kufua na nikapika kwanza.."
What a beautiful moment to be alive.
Guyz mapenzi matamuu