JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mi sipo nimeipata tu sehem fulanu
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....." Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba" Haya wakuu, twende kazi.........
2 Reactions
84 Replies
9K Views
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Muhindi 1 alisilimishwa na shekh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kupiga Bismillah kwa miezi 2 ,basi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu wimbo naulewa sana sio mbaya jumapili kama hii ukatulia nao changanya na The script
1 Reactions
1 Replies
899 Views
Habari wana JF chit chat kama mnavoona skukuu iyoo ishapiga hodi. Naona wazee wa maeneo nao washaanza kucheki mapochi yamekaaje... Ebu tukumbushane maeneo mazur ya kuenjoy na activity nzuri za...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Hiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza kutongiza demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea Msaada plz!!!
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Naomba muwe wavumilivu bado kidogo Mods walale kuna habari nataka niwajuze. Kama nikiiweka sasaivi wataifuta na mtakosa fursa ya kuisoma. Bado Mods wawili tu ndio wapo macho mpaka sasa.
5 Reactions
21 Replies
3K Views
nmefkiria miaka ya mtu ingekua aihesabiwi mtu anapozaliwa. inekua inahwsabiwa mtu akianza kusaidia jamii. mtu akisaidia jamii kwa mwaka mzima miaka yake inaongezeka km mtu haisaidii jamii miaka yk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuja hapa Samaki Samaki ya Mlimani City dakika chache zilizopita lakini sina kampani. Nahitaji kampani ya mchuchu ila kuna sharti moja tu jepesi - nahitaji mchuchu ambaye hayupo singo. Yaani...
2 Reactions
98 Replies
11K Views
Jmn nina girl wangu aliachana na boy wake naalichange line asisumbuliwe lkn chaajabu leo yy ndokamtafuta jamaa anadai anataka amuambie ukwelianamtu wake... Je nia yake inaweza kuwa ni ipi guys
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waganga mahitaji yao bana eti; 1. Niletee mkojo wa chatu 2. Niletee jisho la kipofu mzee 3. Niletee kidevu cha mzee aliekufa na miaka 90 Ongezea na maneno uliowahi ambiwa na mganga
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Wanywa chai bwana!!! Malalamiko kibao. Toka Magufuli ashike usukani wanywa chai kila siku mnalialia, sukari imepanda bei! sukari imepanda bei! Sisi tunaokunywa bia tungekuwa tunalalamika hivyo...
0 Reactions
4 Replies
914 Views
Mkumbuke hiyo tarehe maana JF toka nimeanza kuijua mwaka 2010 nipo kidato cha tano pale Minja secondary school tarehe 1 mwezi 7, 2016 ndio nimeweza ku~log in nakushare matatizo ya jamii yetu...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Familia moja ilishangazwa pale walipopokea jeneza la marehemu mama yao aliyefariki nchini Marekani. Lilitumwa na mmoja ya watoto wake wa kike. Mwili ndani ya jeneza ulikuwa umesongwa sana...
4 Reactions
44 Replies
13K Views
ni mfanyakazi mwenzako anayongea ongea na mbea? mfanyakazi anayejifanya bosi? wakununa? know it all? bosi mtata? kitu gani?
1 Reactions
23 Replies
3K Views
*MAMBO MUHIMU KUHUSU WANAUME AMBAYO MWANAMKE AKIYAJUA HATAPATA UGONJWA WA MOYO....* KUTOKA MTANDAONI 1.. Wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi na mwanamke mmoja tu maishani mwao. 2..Wanaume...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom