PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,764
- 19,295
Muhindi 1 alisilimishwa na shekh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kupiga Bismillah kwa miezi 2 ,basi shetani akamfuata shekh akamwambia mkumbushe muhindi kupiga Bismillah maana ataniuwa kwa pili pili!