Haiwezi kuwa noma kwa kuwa ni obvious wewe ni mtoto mdogo sana kama hao rafiki zako ulio nao na wao watatamani mkarambe hiyo sufuria pamoja. Au mwambie mdogo wako leo umemwachia akarambe yeye.
Kwa kupotezea ntamwakia kikauzu " ebu toka apa , usitupigie makelele"
Kwa Kua mama sikuzote anaupendo ataniwekea
Ntazuga zuga pale baadae ntajimuvuzisha mdogomdogo
Nikifika maeneo nakazamwendo kuliwahi sufuria la uji kabla halijatiwa maji. Ntalilambaje.
Ishu ni pale nikilikuta limetiwa maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.