Nasubili Mods walale nitupie hii habari.

hivi mods nao ni wanasiasa au serikali ya CCM imeamua kuweka mapandikizi kwe mitandao.mf.neno PUMBA TUPU nalo unapigwa ban.ilikuwa siku ya ijumapili yule mod aliweza kufuta ujumbe za watu na kulisha wana UKAWA ban.mf neno PUMBA TUPU.JE HILI NI TUSI?

Screenshot_2016-06-29-22-14-11.png


hii ni kazi usiweke siasa kwenye kazi yako wewe mod uliyekuwa zamu ijumapili.JF.

swissme
 
Back
Top Bottom