Watch "Goodluck Gozbert - Ipo siku" on YouTube

Kwa nini kwenye video ametumia hivyo viumbe vya kitoto toto kana kwamba maudhui ya wimbo ni kwa ajili ya watoto?Anyway, wimbo mzuri sana nimeupenda!
 
Tena afadhali uangalie hii midoli kuliko video yake halisi kachemka vibaya sana
 
Back
Top Bottom