Mambo muhimu ambayo mwanamke anapaswa ayajue!


Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,713
Likes
3,206
Points
280
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,713 3,206 280
*MAMBO MUHIMU KUHUSU WANAUME AMBAYO MWANAMKE AKIYAJUA HATAPATA UGONJWA WA MOYO....*

KUTOKA MTANDAONI

1.. Wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi na mwanamke mmoja tu maishani mwao.

2..Wanaume wameumbwa na matamanio tofauti. Wapo wanaoweza kukaa miaka miwili bila ngono na wapo wasioweza kupitisha siku mbili bila kuchovya.

3..Mwanaume aliyezama kwenye penzi na mwanamke...anaweza kuwa na uhusiano na mwanamke mwingine lakini bado akawa anampenda mpenzi wake sana.

4..Waume wazuri huwa wanakuwa na mpango wa kando (nyumba ndogo)... Hizi huwasaidia kuondoa tension za ngono na kutatua migogoro ya kimapenzi hususani katika umri wa kati....

5..Kama mume wako ana uhusiano wa kimapenzi na kabinti kazuri, karembo chini ya miaka 20 USIOGOPE ila kama mume wako anapiga simu au kutumiana sms na mwanamke mwingine usiku wa manane na kuongea muda mrefu OGOPA SANA.

6..Kabla hujachagua mwanaume hakikisha anaamini kuna UKIMWI, magonjwa ya zinaa na ngono salama....kwa namna hii utakuwa na hakika hawezi kukuletea magonjwa nyumbani.

7.. Waume wengi waaminifu ndio hupiga wake zao.....hawa huwa hawana visaidizi vya ndoa...

8..Niamini. Wanaume wenye upendo wa ziada kwa wake zao huwa wana mpenzi wa ziada..... Wapenzi wa ziada ndio huwapatia utaalamu wa kuwafanya wake zao wafurahi.

9.. Mpenzi wa mume wako hana shida na nyumba yako....ameshaona picha zako na watoto wako kupitia simu ya mumeo.
Wao wana mahusiano ya kimapenzi tu baina yao kwa lengo la kusaidiana kufurahia maisha yao.

10. Wewe kama mwanamke unaweza kumuwekea mtego mumeo na kweli UTAMKAMATA....... Halafu ukishamkamata?

11. Muhukumu mume wako kwa jinsi anavyotimiza majukumu yake kwako na kwa watoto wenu na SIYO kumuhukumu anatembea na nani.......
 
S

Singaporean

Member
Joined
Jun 29, 2016
Messages
10
Likes
3
Points
5
Age
26
S

Singaporean

Member
Joined Jun 29, 2016
10 3 5
Tunatofautiana japo kuna vitu tunafanana usikariri "sisi ni wanaumeeee"
 
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,713
Likes
3,206
Points
280
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,713 3,206 280
Tunatofautiana japo kuna vitu tunafanana usikariri "sisi ni wanaumeeee"
Ni kweli na ukiangalia hapo yanaweza yasiwe yote ila ni kwa asilimia kubwa!
 
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Messages
1,083
Likes
510
Points
180
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2014
1,083 510 180
nimeipenda aiseee asante kwa mada nzuri na tamu kama hii sema mimi shida yangu nimezaa na mdada mmoja wa chuo nilichosoma ila ninamichepuko hatari yaani mkoani kwetu ipo kama 8 na hapa nilipo ipo kama mitatu hivii siwezi kuiacha na inanifariji sana sana
 
mimi ni mimi

mimi ni mimi

Senior Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
119
Likes
22
Points
35
Age
27
mimi ni mimi

mimi ni mimi

Senior Member
Joined Nov 2, 2012
119 22 35
Mmh napita hiviiii
 

Forum statistics

Threads 1,238,213
Members 475,873
Posts 29,312,899