JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha Walevi tupeni siri
16 Reactions
81 Replies
1K Views
Siku hizi wanajamii wa humu mmekuwa mnaringaa sijui mmeona nini jamani aisee . Nimeomba msaada wanani anajua shamba za bei rahisi aniambie pangani au eneo lolote la Tanga kimya. Mnashida gani...
4 Reactions
18 Replies
211 Views
Picha linaanza wakuu nimezoea Mafinga ukifika rood unasubili magari yaishe ndo uvuke Leo apah Dar Si nimekaa masaa ma wili nasubili magari ya ishe lakin hayaishi ndo nikaona wat wanavuk TU ivo ivo...
5 Reactions
21 Replies
265 Views
Mzuka wana jamvi ... Jf kitambo na hiko alikuwa member anayependwa sana hapa jamvini , muda mrefu sasa amepotea miss Chaga , baada ya kuona post yake Leo katika Uzi wa zamani nimekumbuka sana ...
3 Reactions
6 Replies
86 Views
"Wanaume mnanuka vikwapa, ogeni"
7 Reactions
6 Replies
135 Views
Kusifiwa umependeza sio baya jamani ata mimi ninapenda wanaume wanaopendeza.
3 Reactions
31 Replies
468 Views
Kama huwezi kutoa hela ya matunzo acha kutongoza wanawake weupe. Mwanaume unatongoza mwanamke Unashidwa kumtunza ukifa moto unakuhusu
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Wakuu habarini..? je ni member gani unaona ana trend sana ambae amejiunga mwezi wa 6 kunendelea?
4 Reactions
53 Replies
621 Views
unabaki unakodoa mimacho tu....aibu utaona wewe🤣🤣👌. kila muamala ni bao la ushindi huko katoro naskia eti..
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Vimaneno gani mwenzako akikuambia vinakuchanganya mkiwa mnapeana raha kitandani au hata akiwa anakuchombeza kabla ya mechi? (wanaume waambieni wake zenu ni watamu hata kama ni kinafiki, huyu wangu...
8 Reactions
153 Replies
2K Views
1. raraa reree 2. min -me 3. leo dada 4. Seran 5. dosho12 kwangu mimi na kwa trend ya hivi karibuni min -me ni mkali
17 Reactions
89 Replies
948 Views
Kuna watu humu ndani ni wataalam sana wa kumwaga like... Sasa kama hujawahi kupewa like na leo dada na raraa reree tafadhali jitathmini sana. Nani wengine unahisi wanafaa kushindana na hawa...
9 Reactions
16 Replies
165 Views
First generation ndio imetoa viongozi wengi sana hasa wa kisiasa na maarufu.. Hao pamoja na anonymous na elites wengine ndio wamesimika mizizi ya heshima ya JF Lakini hapo hapo yakafanyika makosa...
17 Reactions
124 Replies
921 Views
Kuna aina mbili za watu humu JF. Kundi la kwanza linaingia kupambana. Lengo lao ni kushinda hoja, kuthibitisha wako sahihi na kumfanya mpinzani akubali. Halafu kuna kundi la pili... sisi. Sisi...
4 Reactions
16 Replies
194 Views
Mimi: Ladha inanishinda.
8 Reactions
209 Replies
2K Views
Ume peleka gari yako vizuri waoshe umetoka zako umefika dukani kuchukua maji ukirudi una kuta gari yako imegongwa ukiuliza muushaji ana kwambia gari ilipakiwa vibaya kwahy alikuwa ana jaribu...
4 Reactions
35 Replies
359 Views
hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu Akili...
8 Reactions
29 Replies
409 Views
Kwenye mduara utamkuta amevaa nguo ya kubana na aanze kukatika kiasi kwamba bwana camera na wale wauzuliaji wote wanamgeukia. Kila muda ataaamka atembee tembee mara aende kwa DJ mara vinywaji
3 Reactions
9 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…