Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,872
- 3,638
Kusifiwa umependeza sio baya jamani ata mimi ninapenda wanaume wanaopendeza.
Hii Hatari Sana Sana Kuliko Tear GasDaah wee jamaa
Huyu jamaa atakuwa anajiangalja Sana kwenye kioo hata siku moja moja atakuwa anapaka wanjaHii Hatari Sana Sana Kuliko Tear Gas
Tanzania Inabomoka Nguvu Kazi Inapotea
Allahuma shalli wasallim alayhSubhanaallah!Tumswalie mtume ndugu zangu!
Labda ni wa kikeSubhanaallah!Tumswalie mtume ndugu zangu!
Huyu jamaa nasemaga ana shida sand aiseeeenaona masaa ya kufa hayajafika cc Poor Brain