Leo bhana, katika pitapita zangu za hapa na pale, nikaangukia shule fulani, Basi bana, nikakutana na mwanafunzi kapendeza zake, lakini shingoni kavaa bango kubwa limeandikwa “Swahili Speaker”...
Kuota umepoteza kiatu kwa ujumla kunaashiria kupoteza mwelekeo, kukwama kwa safari ya mafanikio, au kupoteza utambulisho na ulinzi katika maisha yako ya kila siku.
Kiatu katika ulimwengu wa...
Hamjambo?
Mwaka 2011 na 2012 nilikuwa naishi maeneo ya mgodi tz hii hii. Sa tukawa tunaenda kuokota yale wawe yanayomwagwa sehemu na unakuta yana dhahabu hata ya kuuza had m30.
Sku moja...
Mimi kama Gen Z naomba nianze
Hivi Millenials ilikuwaje mkawa yale mashati ya shule mnayatumbukiza kwenye ile mliyokuwa mnayaita BLUU? Kaka yangu alikuwa na huo mtindo kila akirudi shule alikuwa...
" Bubu anaitwa Maneno " 😂😂
"Nakunywa Serengeti Ngorongoro"
"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"
Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata
Kwa umri...
Aliyetengeneza bunduki ya AK 47 kabla ya kifo chake alitubu na kujutia silaha yake ile.. Badala ya kuwa msaada vitani ikawa killing mashine iliyoteketeza mamilioni ya roho zisizo na hatia
Huko...
Kumekuwa na hali ya kila kizazi kukishangaa kizazi kingine, mfano Millennials wengi wanawashangaa namna Gen Z wanavyochukulia mambo, wanaona kama wanayachukulia kwa wepesi hata kama yanaonekana...
Ukiona mkuu wa idara anaejifanya yuko serious, halafu from nowhere tu, kajikuta anafunguka. Na mimi sijamjibu hata kidogo, nikajifanya kama sisikii, mana alichoniitia hakikua hata cha maana, hii...
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame).
Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu...
Nawashauri wana JF wote for free. According to my research nimegundua kuna mtego tumewekewa. Kuna watu online ni maspy.
Wanakuja na thread za kukwambia wewe utupie kapicha kako cjui unakula au...
kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani?
Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
Ukifanyiwa uhuni na wewe lipiza kihuni. 2020 nilikuja kukamatwa kenya kisa sina passport hadi nikajaribu kuwapa laki wakakataa kuwa niwape 1m coz nimeingia illegaly hiyo ni imigration case...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.