Ukifanyiwa uhuni na wewe lipiza kihuni. 2020 nilikuja kukamatwa kenya kisa sina passport hadi nikajaribu kuwapa laki wakakataa kuwa niwape 1m coz nimeingia illegaly hiyo ni imigration case.
Nikasema sawa wakanipeleka kituoni. Sasa kwa kawaida kituoni unatoa mkanda, viatu, simu hadi na hela unakabidhi siku ya kwenda mahakamani unapewa. Huko hela ukikabidhi wanakupa kajikaratasi kameandikwa kiasi cha hela kakiwa kamepigwa mhuri wa kituo na saini ya askari aliyekuandikisha. Siku hiyo nilikuwa na 300k na za kenya zilikuwa 8k.
Askari akaandika 300000 tzs na 8000kshs nikaamua kama mbaya na iwe mbaya nikapata kalamu mle mle ndani nikaongeza kila sehemu 0 moja moja. Ikawa 3m tzs na 80k kshs. Asubuhi sasa ocs amekuja watu tukaitwa majina ya kwenda mahakamani.
Hapo nimetulia tu nawasikilizia. Ikafika mda wa kuchukua kilicho chako. Wakanifikia kijana wawatu nikaonyesha vikaratasi vyangu vya m3tzs na 80k kshs. Acha waanze kuzunguka pesa haionekani wacha alokuwa zamu aitwe kuja kituoni mbio ==> kwa coment...