Nazeeka vibayaa jaman!

Nazeeka vibayaa jaman!

bongo-live

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
1,629
Reaction score
2,044
Juzi kati nimepiga kapicha flani apo amaizing ila kamenishtua kidogoo mazeee, nina miaka 30 ilaa daah... Nifanyejeee nirudi ujananii?
1000417914.jpg
 
Hiyo kitu mimi huwa inanifikirisha Sana, Yani wanaume wengi ukiwaangalia wanaonekana wako chini ya miaka 40 lakini ndevu zao zina mvi

Mimi niko 32 kuna kimvi kimoja icho kidevuni kila nikikichomoa kinatoka tena
Haya makuku ya kisasa mnayo fakamia kama hamna akili nzuri hayawezi kuwaacha salama.
 
Hiyo kitu mimi huwa inanifikirisha Sana, Yani wanaume wengi ukiwaangalia wanaonekana wako chini ya miaka 40 lakini ndevu zao zina mvi

Mimi niko 32 kuna kimvi kimoja icho kidevuni kila nikikichomoa kinatoka tena
Ndevu zenye mvi ndio mpango mzima kikubwa ziweke smart,shave vizuri wee unakuwa sexy kinoma...ila zisiwe kama za mleta uzi tafadhali
 
Unategemea nini, mtu mwenyewe umevaa kama enzi vita vya kagera ?

Pia ndevu kama hazina matunzo ni uchafu
Nyoa/shave vizuri.... pangilia mavazi.... kulingana na eneo unaloenda... mfano ibadan unavaaje, offcn na mtaani ! Vaa smart au casual kulingana na mazingira
 
Hiyo kitu mimi huwa inanifikirisha Sana, Yani wanaume wengi ukiwaangalia wanaonekana wako chini ya miaka 40 lakini ndevu zao zina mvi

Mimi niko 32 kuna kimvi kimoja icho kidevuni kila nikikichomoa kinatoka tena
Mi mwenyewe ninazo kama 3 ilianza moja tu.
 
Unategemea nini, mtu mwenyewe umevaa kama enzi vita vya kagera ?

Pia ndevu kama hazina matunzo ni uchafu
Nyoa/shave vizuri.... pangilia mavazi.... kulingana na eneo unaloenda... mfano ibadan unavaaje, offcn na mtaani ! Vaa smart au casual kulingana na mazingira
😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom