Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwaipaya anasema video hii ni Mamlillion ya Wananchi wa Venezuela wapo mtaani wakishangilia Dicteta Maduro kutolewa madarakani.
Wakuu
Nimekutana na hii taarifa ikiambata na video na kudai kuwa ni ushuhuda wa kwamba Lissu alieleza kuwa walikutanishwa na Padri kitima kwa lengo la kupatanishwa. Je ni kweli Lissu alisema maneno hayo?
===
OGOPA MUNGU na TEKNOLOJIA amewahi kusema marehemu Ruge Mutahaba. Huyu hapa Tundu Lissu anaeleza wazi namna walivyoitwa na Padri Kitima kupatanishwa yeye na Mbowe Kama alivyonukuliwa @habibu_mchange hapo Jana akihojiwa na Edwin Odemba.
I came across this Video and got shocked as I have been following up Bobi Wine"s Campaigns recently seeing how he is sacrificing his life for the people of Uganda because the Police are on side of Museveni.
I think this video is manipulating the Public view to be against Bobi Wine
Wakuu
Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi.
Haya kazi kwenu mtachagua sasa msije shangaa mpaka aliyempigania kikatiba mstaafu CDF naye kafanywa kama wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.