JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Mnamo mwaka 1912, mvumbuzi na fundi nguo Franz Reichelt alipoteza maisha baada ya kuruka kutoka Mnara wa Eiffel nchini Ufaransa akijaribu kuvumbua vazi la parachuti aliloamini lingeweza kumnusuru mtu anayeanguka kutoka juu. Jaribio hilo lilifanyika mbele ya mashuhuda na kurekodiwa kwa kamera, lakini kifaa hicho hakikufunguka kama alivyotarajia na kusababisha kifo chake papo hapo. Zaidi ya karne moja baadaye, tukio hilo linaendelea kuzua mijadala kuhusu mipaka ya ubunifu, ujasiri na hatari katika sayansi na teknolojia. Wapo wanaomwona Reichelt kama mtu aliyekuwa mbele ya wakati wake na aliyetoa mchango kwa maendeleo ya usalama wa anga, huku wengine wakiamini alichukua hatari kubwa isiyo ya lazima. Wewe una maoni gani—je, alikuwa shujaa...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na machapisho mbalimbali yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yakiwa na jumbe zinazodaiwa kutolewa na baadhi ya viongozi, hususan wa nchi za Afrika Mashariki na Afrika ya Kati. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, alisema:"If you want to stop youths from alcohol or playing Aviator, just tell them that it's owned by William Ruto." Chapisho lingine linadai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alisema: "Mimi naomba Rais ndugu yangu William Ruto anipe mamlaka niongoze Kenya kwa wiki mbili tu, nimalize huo mchakato wa hao viumbe wa ajabu wanaojiita Gen Z. Ninyooshe nchi ya Kenya." moja ya machapisho yamechapishwa hapa Je...
Kumekuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa inaonesha baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga uwepo wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche. Video hiyo imeambatana na ujumbe unaosema:"CHADEMA wamefanya maandamano makubwa wakitaka Makamu Mwenyekiti wao, John Heche, ajiuzulu kutokana na tuhuma za wizi wa fedha za chama." Je ni upi uhalisia wa video hiyo?
Tunachokijua Claim A Social media post claims that former Parliament Director of Communications and Public Affairs Chris Obore threatened to commit suicide from Luzira Prison after the Inspector General of Government (IGG) ordered his interdiction. The post further alleges that Obore said the disputed Corporate Social Responsibility (CSR) funds belonged to former Speaker Anita Annet Among and that he was being selectively prosecuted while she remained free. What We Know The claim is false and is not supported by credible evidence. Jamiicheck Found the following; It is true that: • Chris Obore and several other senior Parliament officials are facing charges of embezzlement, causing financial loss and money laundering over the alleged...
kumekuwepo na chapisho ambalo linasamambazwa na moja ya ukurasa wa facebook likidai kuwa Inawezekana unatafuta dhahabu machimboni au madukani, lakini ukweli ni kwamba tayari unatembea ukiwa na dhahabu mwilini mwako! Katika chapisho hilo wamedai kuwa Wanasayansi wamethibitisha kuwa ndani ya mwili wa binadamu kuna wastani wa miligramu 0.2 za dhahabu safi. Madini haya ya thamani yanapatikana ndani ya damu yetu yakifanya kazi zake za kibaolojia. Sambamaba na hilo kumekuwepo na madai kuwa Hii ni dhihirisho tosha kuwa kila mmoja wetu ameumbwa akiwa na thamani kubwa tangu awali. Hivyo basi, thamani yako haitokani na kile unachomiliki kwa nje, bali kile kilichopo ndani yako!
Tunachokijua Claim A Circulating post by Mawejje Media (Mawejje TV) claims that Gen. Muhoozi Kainerugaba questioned why Mulago National Referral Hospital, a government facility, charges parking fees, allegedly citing rates of UGX 1,000 for bicycles, UGX 3,000 for motorcycles, and UGX 10,000 for vehicles. The post attributes the statement to the CDF What We Know •Our review found no evidence that Gen. Muhoozi Kainerugaba made the statement. -The quote appears only on Mawejje TV Facebook & Tiktok posts published on 31 July 2026. -There is no corresponding post on Gen. Muhoozi Kainerugaba's verified social media accounts, including his official X account @mkeinerugaba •No official statement, speech, press release, or interview...
Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, likidai kuwa Hashim Rungwe amefichua siri kwamba viongozi wa vyama vya siasa walilipwa fedha ili kushiriki kikao kilichoitishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan. Chapisho hilo limeambatanishwa na kipande cha video kilichokatwa, kinachomuonesha Hashim Rungwe akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Star TV. Chapisho hilo lilianza kusambazwa mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya kikao maalumu na viongozi wa vyama vya siasa nchini kilichofanyika Ikulu, Dar es Salaam. Hata hivyo, ufuatiliaji uliofanywa kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya mtandaoni umebaini kuwa baada...
Inadaiwa kuwa Kalonzo Musyoka amefanya kikao cha siri leo na Rais William Ruto mjini Narok, ambapo walifikia makubaliano ya kushirikiana kabla ya uchaguzi. Haya yanajiri huku kukiwa na uvumi kwamba upinzani unampendelea Edwin Sifuna kuwa mgombea wao wa urais, akisaidiwa na mgombea mwenza kutoka Mlima Kenya, ambaye inadaiwa ni Kiharu MP Ndindi Nyoro. Kwa mujibu wa madai hayo, Kalonzo hayuko tayari kuwa mgombea mwenza na badala yake anapendelea kumuunga mkono Ruto, ambaye inadaiwa tayari alimuahidi kumuunga mkono mwaka 2032. Kabla ya hapo, baada ya uchaguzi wa 2027, Kalonzo anadaiwa kuahidiwa nafasi ya kupendekeza Mawaziri (CSs) watano na Makatibu Wakuu (PSs) 13. Madai hayo pia yanasema kuwa Kalonzo ameagizwa kuendelea kujionyesha kama...
Tunachokijua (What we know). On Saturday, July 25, 2026, Uganda held its inaugural National Cleaning Day, a civic initiative aimed at promoting public health, sanitation, and environmental responsibility. The programme was announced by Prime Minister Robinah Nabbanja following Cabinet approval in August 2025, and it was championed by President Yoweri Museveni, who emphasized the importance of collective action in keeping Uganda clean. The official launch was presided over by Vice President Jessica Alupo, representing the President at the national event. The exercise, conducted under the theme “A Clean Uganda is Everybody’s Responsibility,” took place from 7:00 a.m. to 10:00 a.m. Claim: A post circulating on social media, shared by...
Back
Top Bottom