JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

False video Tunachokijua(what we know): Uganda’s Local Government Minister Balaam Barugahara and State Minister Justine Nameere Nsubuga found themselves literally bogged down in the very problem they set out to inspect. On July 20, 2026, their convoy became stranded on the slippery slopes of Wanale Hill in Mbale while examining a road alleged to have been poorly constructed. What was meant to be a routine accountability exercise quickly turned into a muddy ordeal, with officials forced to proceed on foot amid heavy rain. Claim: “A screenshot and video circulating on social media show the State Minister for Local Government, Hon. Justine Nameere, slipping and falling on a muddy road during an inspection in Mbale District.”...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la usambazaji wa nukuu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kutolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Mojawapo ya nukuu hizo, iliyochapishwa kwenye mtandao wa Facebook, inamdai Rais Samia amesema: "Natamani muda wangu uishe." Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa kupitia vyanzo mbalimbali vya mtandaoni umebaini kuwa hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Rais Samia aliwahi kutoa kauli hiyo, iwe katika hotuba, mahojiano, taarifa rasmi au kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Aidha, ukaguzi wa hotuba na taarifa rasmi zinazochapishwa kupitia kurasa za mawasiliano za Ikulu ya Tanzania haukubaini sehemu yoyote ambayo Rais Samia amesema...
Tunachokijua(What we Know). A serious road accident occurred on Thursday evening, July 16, 2026, involving children from King David Junior School in Ndejje, Uganda involving a school bus which crashed at around 8:00PM in Kapchorwa District claiming 24 lives mainly pupils and leaving many injured. Claim: A viral screenshot originating from X(formally twitter) and video of a grieving man are circulating online, with captions alleging that he lost four children in a tragic school bus accident. Some posts further claim that he himself also died shortly after the incident. Findings: JamiiCheck, through the use of Google Lens and verification tools, found out that the viral screenshot and video of a grieving man have been...
Azaki amesema Viongozi wakuu wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakikosolewa mara kwa mara kwa kuendesha harakati zao kwa misingi ya tamaa ya madaraka na ubinafsi badala ya masilahi mapana ya taifa. Wakosoaji wengi wanabainisha kuwa maamuzi mengi ya kimkakati ndani ya chama hicho, ikiwa ni pamoja na uteuzi wa wagombea na mwelekeo wa kisiasa, yamekuwa yakihodhiwa na kundi dogo la watu wanaotafuta kulinda nafasi zao na kujinufaisha kibinafsi. Hali hii inajidhihirisha pale chama kinaposhindwa kujenga misingi thabiti ya demokrasia ya ndani na badala yake kutegemea majina ya watu binafsi, hatua inayowafanya wananchi wengi kuamini kwamba kiu ya viongozi hao kuingia madarakani haitokani na nia ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa mtanzania wa...
Tunachokijua Claim: Social media Posts claim that Katete Bridge in Mbarara City was built or renovated at a cost of UGX 5.2Billion , yet remains in a poor state. The posts, accompanied by images of the bridge, further imply that Mbarara City Mayor Robert Mugabe Kakyebezi is responsible for the alleged misuse of the funds and suggest that Local Government Minister Balaam Barugahara and State Minister Justin Namere are moving to have him arrested over the project. What we know • The claim emerged amid the ongoing anti-corruption inspections by the Ministry of Local Government in Uganda, where Minister Balaam Barugahara and State Minister Justin Namere are inspecting public infrastructure projects over alleged misuse of government funds...
SANAMU YA DHAHABU YA RAIS TRUMP KUWEKWA IRAN KWA HESHIMA YAKE! . Wafuasi sugu wa rais trump wanapendekeza sanamu ya dhahabu ya Trump iwekwe mjini Tehran siku chache baada ya "kulikomboa" taifa hilo kutoka kwa utawala wa Kiislamu, ikiwa ni ishara ya amani mpya kati ya Washington na Iran. #MAGA HARDLINERS propose a GOLDEN STATUE of Trump be placed in Tehran days after “liberating” the country from the Islamic regime, as a symbol of renewed peace between Washington and Iran.
Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, likidai kuwa taifa la Afrika Kusini limetoa orodha mpya ya nchi 22 za Afrika ambazo raia wake wanaruhusiwa kuingia nchini humo bila visa kwa madhumuni ya utalii, biashara au ziara fupi. Chapisho hilo linaeleza kuwa muda unaoruhusiwa wa kukaa nchini Afrika Kusini ni kati ya siku 30 na 90, kutegemeana na uraia wa msafiri na aina ya pasipoti anayotumia. Aidha, linadai kuwa raia wa nchi hizo wanaweza kusafiri kwenda Afrika Kusini bila kuomba visa kabla ya safari, mradi ziara yao iwe ndani ya muda unaoruhusiwa na watimize masharti ya kuingia nchini humo. kando na hilo chapisho pia limesambazwa kupitia kiungo hiki,hiki Je ni upi uhalisia wa...
Tunachokijua Claim A viral TikTok video posted by Comedian HON DR T-Amale claims that the Uganda Communications Commission (UCC) and another Organization - TCCU have shut down the TikTok account of National Unity Platform (NUP) President Robert Kyagulanyi Ssentamu (Bobi Wine) for allegedly spreading hate speech. The video also claims that other NUP-affiliated accounts, including @HalfLondon, would also be closed at 6:00AM today , the 17th of July citing the same reason. What we know •A review of Bobi Wine's Official Tiktok account shows that it remains active and publicly accessible, with over 3.4 million followers. There is no indication that the account has been suspended or closed. •The claim also names @HalfLondon, a prominent...
Msemo huu kuwa ulaji wa Karoti unaongeza uoni wakati wa usiku uekuwa maarfu sana miongoni mwa watu lakini je uhalisia ni upi? Makala iliyochapishwa na Medical News Today inataja faida mbalimali zitokanaz0 na ulaji wa karoti kutokana na wingi wa virutubisho ilivyo navyo. “Karoti zina vitamini, madini na viambata vya kuzuia uharibifu wa seli (antioxidants). Kula karoti kama sehemu ya lishe bora husaidia kuimarisha kinga ya mwili, uponaji wa vidonda, afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na inaweza kupunguza hatari ya baadhi ya saratani.” Kwanini karoti inatajwa kuwa nzuri kwa afya ya macho? Karoti zina beta-carotene, kirutubisho ambacho hubadilishwa na mwili kuwa vitamini A. Vitamini A ni muhimu kwa afya ya macho na husaidia kuona...
Back
Top Bottom