JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kumekuwa na chapisho linalosambazwa katika mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, likiwa na nukuu inayodaiwa kutolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Nukuu hiyo inasema kuwa “Nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031, lakini hadi sasa sioni mtu anayeweza kuendeleza maono yangu.” Yoweri Kaguta Museveni Chapisho hilo limechapishwa kupitia hapa, hapa, hapa, hapa
A purported press release claiming that former President Uhuru Kenyatta rejected repeated requests to meet former Deputy President Rigathi Gachagua has been dismissed as fake by Uhuru’s spokesperson, Kanze Dena Mararo. The statement goes further, portraying Gachagua as having a pattern of antagonising political partners, humiliating allies and prioritising personal political dominance over collective progress.
Katika uhandisi jeni (genetic engineering), clone ni nakala inayofanana kabisa kijeni (genetically identical copy) ya jeni, seli, au kiumbe, inayozalishwa kutoka kwa chanzo kimoja. Kwa ufupi: Gene clone – nakala nyingi za jeni moja. Cell clone – kundi la seli zenye DNA ileile, zote zimetokana na seli moja. Organism clone – kiumbe kilichotengenezwa ili kiwe na vinasaba (DNA) vinavyofanana kabisa na vya kiumbe kingine. Mfano katika uhandisi jeni: Jeni la kutengeneza insulini kutoka kwa binadamu linaweza kuingizwa kwenye bakteria. Bakteria huyo huzaliana na kutengeneza mamilioni ya bakteria wenye jeni hilo hilo. Bakteria hao huitwa clones, na hutumika kuzalisha insulini kwa wingi. Jamiicheck tunaomba hili nalo mkalitazame
Tunachokijua (What We Know) In the recent results Makerere University was placed 23rd in Africa and 639th among global universities in the US News & World Report Best Global Universities Rankings 2026–2027, released on 23 June 2026. Makerere's overall global score stood at 44.9%. This result pushed the university out of Africa's top 20 for the first time in this ranking — University of Cape Town topped Africa (1st, 122nd globally), followed by Cairo University, University of Witwatersrand, University of Ibadan, and Mansoura University. The Claim The Facebook post (Mawejje TV) attributes a direct quote to Gen. Muhoozi Kainerugaba stating that Makerere, once "top 5" in Africa has fallen so far that it's "not even in the best 50...
Kumekuwa na machapisho kadhaa yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya na Tanzania, yakidai kuwa kijana Mtanzania, Isaiah Yunge, ametoa zaidi ya shilling billion 7 za Kenya ili kufanikisha ndoa yake na bintiye William ruto huko nchini Kenya Miongoni mwa machapisho hayo kuna ujumbe unaodaiwa kutolewa na Isaiah Yunge ukisema: I paid 7 billion Kenyan shillings as dowry for my beautiful wife Charlene Ruto. I added 2 choppers to the first family and also awarded my in-law George one nganya bus. I also bought my wife Charlene a golden ring worth 56 million. That is the little I could afford. I thank my father-in-law Dr. William Ruto for accepting my humble dowry. Aidha, baadhi ya machapisho yamekuwa yakisambaza nukuu inayodaiwa...
Kisukari cha mimba (Gestational diabetes - GD au GDM) ni aina ya kisukari kinachotokea wakati wa ujauzito, ambapo kiwango cha sukari kwenye damu hupanda kupita kiasi (hyperglycemia). Hali hii hutokea pale homoni zinazozalishwa na kondo la nyuma (placenta) zinapoathiri uwezo wa mwili kutumia au kutengeneza insulini ipasavyo. Insulini ni homoni inayosaidia mwili kudhibiti kiwango sahihi cha sukari (glucose) kwenye damu. Dalili za kisukari cha mimba Dkt. Rugemeleza anaeleza kuwa dalili hizi hufanana sana na dalili za kawaida za ujauzito, ni rahisi kuzichanganya; hivyo uchunguzi wa kitabibu ni muhimu sana ili kugundua tatizo mapema. Dalili Zinazoonekana: Mama mjamzito anaweza kuwa na kiu kinachopita kiasi na kukojoa mara kwa mara...
Back
Top Bottom