Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.
Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao...
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che Malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo...
π°πππππππππ°
π #mapinduzicup
β½οΈ Young Africans SC Vs KVZ FC
π 04.01.2024
π Amaan, Zanzibar
π 2:15 Usiku
Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,
Mechi inachezwa...
Kutoka @yangasc
Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vilabu Barani...
BONDIA kutoka Tanga Hassan Mwakinyo ametoa maneno βmbofumbofuβ ( katupa jiwe gizani ) kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona βpikoβ anazojichora...
Hii nchi ukiwa mwepesi wa Kucheka unaweza kupasuka Mbavu , Yaani Wahuni ndio wanaoteuliwa eti kwenye kuhamasisha timu ya Taifa .
Kwenye kikosi hicho yumo Mwijaku aliyeshindwa kutimiza ahadi yake...
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado...
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo
Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY
Alikuwa akiandika mada ndefu huko...
Simba SC wamefanikiwa kuvuna alama 3 muhimu baada ya kuifunga timu ya Singida FG kwa mabao 2-0 na kukwea kileleni mwa msimamo wa Kundi B.
Kasi ya Simba aliyoanza nayo ilisababisha kona ya mapema...
Mchezaji LuΓs Miquissone hakuwa mchezaji mbaya, ila ugomvi ndani ya uongozi ulisababisha afungwe miguu ili aonekane mzito, halafu kumbukeni Micquisone amesajiliwa kwa nguvu ya Mo Dewji na Try...
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha...
Kiungo mshambuliaji fundi wa Simba aliyekuwa majeruhi, AUBIN KRAMO amerejea nchini akitokea Ivory Coast na fasta akapanda boti kwenda kuongeza mzuka kikosini mjini Unguja, Zanzibar. .
Kramo...
Leo ni nusu fainali iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba.
Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan...
Mimi binafsi sitamani SSC irudi kwa form.
Niseme Wazi matatizo yao ndio furaha yangu. Simba iendelee kuwa kwenye mgogoro na kufanya vibaya.
Pamoja na yote yaliyotokea leo, bado sikioni kikosi...
Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika...
Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye...
Siku hizi limeibukaa wimbi la Utapeli hasa toka Kenya ambapo vijana wa Kenya na wachache watanzania wanawaambia vijana wa Kitanzania kuwa wao wana Odds za UHAKIKA so uwape hela wakuuzie. Vijana...
Umofia kwenu!
Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao.
Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya...