Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,952
- 7,867
Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga magoli 3-0 dhidi ya Singida Big Stars
Magoli ya Yanga yalifungwa na Allan Okello (Star Boy) magoli mawili na Mudathir goli moja
Kwa ushindi huo Yanga wamerudi kileleni mwa ligi wakiwa na points 57, huku wakiwa wamebakiza mechi 6
===========
Leo tena weekend inaanza na game hii young african dhidi ya walima alizeti
Je ni kwanini klabu ya simba na coastal zikiwa zinacheza zinahusishwa kua ni klabu zinazoachiana matokeo hii imekua hivyo hivyo pia kati ya young african dhidi ya singida stars kuitwa mtu na dada ake wanacheza
Je tatizo inakua nini ni kwasababu ya timu zote kua na udhamini mmoja