Iran yadai FIFA imefuta Tiketi za mashabiki wake kwa mechi za Kombe la Dunia Marekani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,908
Reaction score
16,465
Shirikisho la Soka la Iran (FFIRI) limesema kuwa FIFA au mamlaka za Marekani zimeondoa mgao wa tiketi uliokuwa umetengwa kwa mashabiki wa Iran kwa mechi zote tatu za hatua ya makundi zitakazochezwa Marekani.

IMG_0713.jpeg
FFIRI ilieleza kuwa tayari ilikuwa imeanza mchakato wa kuuza tiketi hizo kwa mashabiki wake, na baadhi yao walikuwa tayari wamepanga safari za kuhudhuria mechi hizo.

IMG_0712.jpeg
Kanuni za FIFA zinatoa haki kwa kila shirikisho linaloshiriki kupokea takribani asilimia 8 ya tiketi za kila mechi ili kuzisambaza kwa mashabiki wake.

Mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2026 itachezwa Alhamisi, Juni 11, 2026, katika Uwanja wa Estadio Azteca mjini Mexico City, ambapo wenyeji Mexico watafungua rasmi mashindano hayo kwa kuikabili Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza wa michuano hiyo.

Matukio mengine;
Via: Reuters

======

Iran's football federation said on Tuesday its ticket allocation had been pulled just days before the World Cup starts, leaving supporters who had ‌already made travel plans unable to attend their team's matches.

The World Cup begins on Thursday, with Iran playing their first two Group G games in Los Angeles, against New Zealand on June 15 and Belgium on June 21, and then facing Egypt in Seattle on June 26.

In a statement, the Iranian federation said it had already begun the ticket sales process for the matches but could no longer provide them to fans.

"This is despite the fact that ⁠many Iranian football fans, relying on the officially announced process, had already made the necessary plans to attend the matches," the FFIRI added in a statement.

"Depriving Iranian supporters of access to their lawful and official allocation of tickets is an action contrary to the spirit governing international competitions and the principle of equality among participating countries.

"This development raises serious questions about the interference of non-sporting and political considerations in the organization of the world's biggest football event."

Each participating federation at the World Cup receives 8% of the tickets for each of their matches to be allocated to fans according to their own criteria.

'PRINCIPLES OF NEUTRALITY'​

The FFIRI did not say who had made the decision to withhold the tickets but urged FIFA, soccer's governing body, to adhere to "the ‌principles of ⁠neutrality, fairness, and established regulations" and called on it to prevent off-field issues from casting a shadow over the tournament.

FIFA did not immediately respond to a request for comment.
 
Kuruhusu mashabiki wa iran waingie US ni kama kumkaribisha adui aingie chumbani kwako,wale wako tayari kulipua uwanja kwa kile wanachokiita kulipiza kisasi. safi sana FIFA na US.
Ni kweli mkuu wale wanaweza ila kwa search na jicho la ulinzi watakalopewa Iran sidhani kama wataaeza kufanya hilo tukio. FBI ipo makini sana.
 
Huku wanaita nchi za mahoga hao hao wanalilia kwenda huko, watawapakua shauri yao.
 
Kuruhusu mashabiki wa iran waingie US ni kama kumkaribisha adui aingie chumbani kwako,wale wako tayari kulipua uwanja kwa kile wanachokiita kulipiza kisasi. safi sana FIFA na US.
Sasa wao US si wameadvance kitenolojia unaogopa mtu mikono mitupu kweli?
 
Ni kweli mkuu wale wanaweza ila kwa search na jicho la ulinzi watakalopewa Iran sidhani kama wataaeza kufanya hilo tukio. FBI ipo makini sana.
kuna maajabu ya dunia mkuu,mtu anaweza kujitoa muhanga hata nje tu ya uwanja akalipua,we acha tu waarabu si watu kabisa,bora wamepigwa stop.
 
Back
Top Bottom