Ni mchezo fulani hivi wa kindege kinapaa alafu kinapotea sasa unachotakiwa wewe ni kuweza kuki timing kabla hakijapotea unacash out pesa kwa kuwa kinavopaa ndo pesa inaongezeka mfano kama umeweka 1000 kikapaa mpaka kikafika 500× basi inakuwa 1000 ×500= 500000, lakini kikipotea kabla hujacash out basi ela yako inakwenda, kiufupi iko controlled na kompyuta ijapokuwa wapo wanaoshinda ila kwa uchache sana, wengi wanapigika haswa unakuta mtu kaweka milioni moja anataka apate mfano milioni tano lakini kindege kinapotea kabla hajafanikiwa ku cash out so inakula kwake, milioni inapotea hivyo