Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali.... wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Jana vijana wamefanya kweli baada ya kuichapa African Lyon 3.0. hapo mpo wapenzi wa Lyon
0 Reactions
2 Replies
2K Views
American Idol judge Paula Abdul is quitting the TV singing contest after eight years. Making the announcement on Twitter, the 47-year-old said: "With sadness in my heart, I've decided not to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samuel Eto'o 8/3/2009 5:56:57 AM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaweka utaratibu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BARCELONA superstar Lionel Messi will be offered a new £8million-a-year long-term deal. Barca also want a £255m buy-out clause in the 22-year-old's contract. SOURCE: THE SUN Wale wenye jeuri ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
POLISI nchini Sweden wameapa kuwasaka wachezaji watano wa timu ya vijana ya Azam waliotokomea wakiwa nchini humo hivi karibuni. Wiki iliyopita, wachezaji hao walitoroka na kuzamia kusikojulikana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msimu ndio umeisha na tumeshuhudia Barcelona,Manchester United,Porto,Inter,Bordeaux wamefanikiwa kuchukua ubingwa kwenye ligi zao na Barcelona wakafanikiwa kubeba Champions League. Tayari baadhi...
0 Reactions
150 Replies
17K Views
Former England manager Sir Bobby Robson has died at the age of 76, following a long battle with cancer. Robson will be best remembered on the international stage for leading England to the 1990...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema licha ya Mwakilishi wake Abass Juma Muhunzi kukaidi amri ya uongozi wa chama hicho kutokwenda Dodoma kushiriki katika michezo na timu ya bunge chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Boniface Ambani asikitika kuikosa Ligi KuuNa Jessca Nangawe MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Kenya, Boniface Ambani huenda akakosa baadhi ya mechi za ufunguzi za Ligi kuu baada ya kupewa mapumziko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo imefikia kiasi hichi Viongozi wa SMZ wana zalilishwa huku wakionekana kama vile poor small Boys without no Brain.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Check out these misses, so funny! Quality si nzuri sana! YouTube - Broadcast Yourself.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana football, Jana boss wa mashetani wekundu amesema yeye haiwazii Man city na inaziwaza Liverpoll na Chelsea. Ingawa kuna timu zimtumia pesa nyingi kununua wacehezaji kama vile Man City...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama wewe ni mpenzi wa soka la Bongo hasa hizi timu za Simba na Yanga.. unaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo hasa simba kwa miaka ya hivi karibu yaani wakikaa mwezi, mbila kungombana ni bahati na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fifa has fined the Ivorian Football Federation $47,000 following the enquiry into the stadium tragedy where 20 fans died in Abidjan in March. Football's world governing body imposed a series of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TFF should handle ZFA outbursts better Zanzibar Football Association (ZFA). Early this week the Tanzania Football Federation (TFF) made a call to the regional soccer associations and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HATIMAYE Shirikisho la Soka la Kimataifa, (FIFA) limesema kamwe Zanzibar haiwezi kupata uanachama kutoka kwake na inalitambua Shirikisho la Soka Tanzania, TFF pekee. FIFA imetoa kauli hiyo muda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Under 17 imeisha! Na kwa waliofuatilia angalau kwa mchezo kati ya Mjini Magharibi na Tabora basi atagundua kwamba nchi yetu ina hazina kubwa ya vipaji vya soka! Hata hivyo, pamoja na kuonekana kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Somoe Ng`itu Hatimaye juzi kipa mahiri nchini, Juma Kaseja alisaini fomu za kujiunga na klabu ya Simba kwa ajili ya kuichezea katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na mashindano ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza Watanzania kushuhudia fainali ya kuvutia ya michuano ya Copa Coca-Cola ambayo ilishuhudia Mjini Magharibi ikitwaa taji hilo baada ya kuilaza Tabora mabao 2-1...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…