Kocha poulsen jitayarishe kwa maneno hawa ndio watanzania;kazi imeanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kocha poulsen jitayarishe kwa maneno hawa ndio watanzania;kazi imeanza

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 9, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Kwa alie karibu na kocha mkuu wa taifa kwanza nampa pole kwa yaliotokea leo jioni
  pili naomba ajitayarishe sasa kuwsikia watanzania halisi ni wapi na si wale waliomshabikia draw ya algeria...mpe pole sana ila asiwe mkali wa maneno kama nduguye alietutoka

  mpira wa tanzani utapendwa pale unaposhinda ukishindwa utapokea matusi ya kila nguo utakayovaa daer poulsen any convinience caused is highly regreted
  tunaomba upokee mawazo na matusi yao bila kuyatilia maanani
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikuwa uwanjani na kwenye michezo lazima ukubali kushindwa uinapobidi... ukweli ni kuwa vijana wamejitahidi sana ila ushambuliaji bado ni tatizo kubwa sana kwa timu yetu ya taifa na afadhali timu hii inayoundwa na mchanganyiko wa wachezaji kuliko ya mimi sio mimi ndio ( maximo ) maana majority walikuwa vijana wa jangwani na kidogo wa msimbazi
   

  Attached Files:

 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  inabidi awazoee watanzania
   
 4. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wazoee kufungwa????????
   
 5. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,039
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Hakuna walilojitahidi ni wa kupiga viboko kwani wangweza shinda tatizo wanacheza kama hawana malengo hivi!!. Jamaa mwezie anahangaika kukaba badala ya kuongeza nguvu yeye anatembea tu. Kwa kweli ni kichefu chefu. Lazima wajue jinsi ya kukakaba na kutompa adui nafasi kama wanavyofanya sasa.
   
Loading...