Mganga kumrejesha Kaseja, Simba
Burhani Yakub,Tanga.
MWANAMICHEZO maarufu nchini na mpenzi wa klabu ya Simba,Profesa Maji Marefu amejitolea kumlipa mshahara wa Sh 1.5 milioni kwa mwezi...
Naombeni mnitajie japo mchezaji mpira leo hii ana kiwango cha wachezaji hawa
YANGA AFRICAN
(1)HAMISI KINYE/JOSEPH FUNGO
(2)AHMED AMASHA
(3)ATHUMAN JUMA(CHAMA)
(4)ALLAN SHOMARI
(5)CHARLES...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 4th May 2009
Beki wa zamani wa Simba ya Dar es Salaam, Victor Costa anayechezea timu ya Agasebe De Songo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Msumbiji, amesema...
Hii taarifa ndio imedondoka sasa hivi (breaking News) kwenye www.goal.com. mechi ilishachezwa mwanzoni mwa mwaka huu jamani ni nini hiki? kweli bado tupo nyuma kiasi hiki?
KLABU ya soka ya Simba imesema itatumia jumla ya Sh. Milioni 900 kuweza kusajili kikosi imara kitakachoiwakilisha timu hiyo katika Ligi Kuu na michuano mbalimbali ya Kimataifa.
Mwenyekiti wa...
kuna issue mimi kama mwanaharakati inaniuma sana, mikoa mingi wasanii wake wamejitahidi kuipa support mpaka ikaonekana kimuziki, mfano ARUSHA, DODOMA, DAR, lakini hapa MWANZA tunawasanii ambao...
Swali langu wana JF ni juu ya huu mchezo hatari wa MIELEKA (wrestling), ambayo tunaiona kwenye TVs ikichezwa na mabaunsa wa huko majuu.
Je kwanini watu wale hawaumii, kutokwa damu au kufa kabisa...
Manchester United chief executive David Gill insists Sir Alex Ferguson will continue to manage the club for 'a number of years'.
Ferguson secured his 11th Premier League title at United with...
Da kweli wala sijafurahi sema ndio maana sikuwa director, ilikuwa ni series nzuri mno na nafikiri wengi wetu tuliipenda sana ila ndio hatuna ujanja na kiukweli director alijitahidi sana na kwa...
Leo inaelekea Federer atamuadhiri Nadal nyumbani kwao katika Final ya best of 3. Tayari Federer kashinda set ya kwanza kwa 6-4 na ya pili yuko mbele kwa 4-2.
Mgonjwa: naumwa sana
DR: Kazi?
MG: nilikuwa Afisa GTV
DR: Akiba unayo?
MG: Yote ipo DECI
DR: Unakaa wapi?
MG: Mbagala karibu na kambi ya jeshi
DR: Uba mume
MG: Hata nina Boy Friend anaitwa nani...
Huwa nina sikitika sana ninapokuta watu, wabantu kabisa wa Tandika, Gairo, Mlalakuwa na sehemu nyingi nyingine za Tanzania wakijiita mara mimi Arsenal, yule Liverpool, mara ManU zaidi, tena...
Nizar Khalfan aitwa Tottenham
Imeandikwa na Anatazia Anyimike; Tarehe: 13th May 2009 @ 10:37
KIUNGO mahiri wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Nizar Khalfan ameitwa na timu ya Ligi Kuu ya...
Wenger vows to strengthen squad
BBC News Online
Arsenal boss Arsene Wenger will splash out in the summer after conceding he needs to strengthen his squad.
Last week's defeat by...
Mchezaji wa Liverpool Steven Gerrard amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2009 kupitia chama cha waandishi wa habari za mpira wa miguu cha Uingereza (FWA).
Hongera kaka Stevie
Selebuka nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.