Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna aibu zingine ni za kushangaza sana........... Nilikuwa natazama tv mara habari za michezo zikafika akatokea mwenyekiti wa taswa. Eti wameaaamua kumpa jk tuzo ya maalum kwa kujali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huenda kauli hii ikawa imeweka historia katika medani ya soka Tanzania. Mwenyekiti wa timu ya Simba Ismail Aden Rage amekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa timu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
My fellow soccer fanatics, The draw for the group stage of the Europa League is taking place at Monaco's Grimaldi Forum. I am so eager to know the English opponents. Mind you the final will...
0 Reactions
113 Replies
9K Views
Tokea ligi ya Vodacom ya mwaka jana kumalizika hadi kuanza ligi ya 2010/11 kulikuwepo na muda wa kutosha kukarabati viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya ligi ya Vodacom. Uongozi wa uwanja wa Uhuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza itashuka daraja msimu huu kama itaendeleza u mdebwedo wake. Habari hii inaweza kuwa n jema kwa wapinzani wao Man United.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nikaamka macho hayaoni eti juu ya kukaaa nikiusikiza miziki wabongo.wajua hukumarigani bongo hamna!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inaniwia vigumu sana kuelewa dhana nzima ya hawa wahusika wanaoendelea na mchakato wa kuufunga uwanja wa uhuru eti usitumike tena kwani utafanyiwa marekebisho, hivi walikuwa wapi kipindi ligi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu hivi Star TV wamepata Rights za kurusha Ligi ya Wingereza Live Bila Zengwe? Msimu huu raha tu
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi hawa TFF hawana malengo ya kutafuta vyanzo vingine vya kujipatia mapato zaidi ya kung'ang'ania mapato ya mlangoni ktk viwanja? Umefika wakati wa sekta hizi za michezo zipewe watu makini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BIbi Chausiku Mussa(75) aliposhindwa kuzuia hisia zake na kuanza kucheza wimbo wa 'Alamba' ambao ni wimbo wa taarabu uliokuwa ukiporomoshwa na Mzee Yussuf wa kundi la Jahazi juzi kwenye uzinduzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kenya whipped Tanzania 3-1 in a stormy Group “A” match on Saturday at the Cecafa Under-20 Championship, virtually booking a place in the semi-finals on Wednesday. It was an explosive match in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The U.S. Open kicks off at the end of August, and the world’s best female tennis players will compete for the final Grand Slam title of the year. But the real action is off the court, as these...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesho mtanange wa kukata gebe na majigambo ya watani wa jadi utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Simba. Timu zote tayari zipo mafichoni. Kama kawaida yangu karata naidondosha kwa watoto wa...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
Diego Maradona claims he wants the Aston Villa manager’s job. The former Argentina boss, 49, is looking for a new post after taking charge of his country at the World Cup where they lost in the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1.mohamed mwameja 2.deo mkuki 3.alphonce modest 4.mustapha hoza 5.george masatu 6.hussein marsha 7.athumani china 8.juma amir maftah 9.madaraka suleiman 10.nteze john lungu 11.thomas kipese...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Karibuni jamani... Club ya San Siro inafunguliwa RASMI LEO 29.01.10,ipo mkabala na Rombo Green view! inadaiwa ndo club pekee E.A ambayo unapata huduma zote,mfano BELLY DANCERS,BIKINI WAITERS,POLE...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
England can't stop winning with Theo Walcott in the team. Arsenal's flying winger Theo Walcott, now 21, has now featured in 12 England matches…and England have won all 12. He became his...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi nii mechi inaanza saa ngapi na uwanja gani?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom