Yanga v/s Simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga v/s Simba

Discussion in 'Sports' started by Fidel80, Aug 17, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kesho mtanange wa kukata gebe na majigambo ya watani wa jadi utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Simba. Timu zote tayari zipo mafichoni. Kama kawaida yangu karata naidondosha kwa watoto wa Papic makutano ya mtaa wa Twiga na Jangwani.
  Kila la kheri Tegete, Assamoah, Chuji,Mbuna, Nsajigwa, Nsa Job, Mwasika, Babi, Nurdin, Shamte, Kiggi kesho vijana mtatupa raha.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ningependa wkt tunamchinja Mnyama awepo Kaseja golini wasikose sababu.
   
 4. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mechi ya kesho haikati ngebe because there are still games ahead,vyovyote iwavyo kama wapo Mafia au Bwagamoyo,kesho kichapo tu. Okwi, Mgosi, Maftah, Owino aaaaa.....!! Jangwani mboga tu!!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahaha!
  bahati mbaya kidogo ''unazi wangu '' ni wa kawaida sana....!
  lakini ninavyoona ni kwamba simba atashinda tu
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Haya namsubili mpwa wangu mnazi wa Jangwani.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehe!
  jacob zuma atapitia hapa sasa hivi
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,055
  Likes Received: 24,059
  Trophy Points: 280
  Ili mradi usije ukaingia mitini kama mwaka jana...:amen:
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yanga 3 Simba 1 Full time score mark my predication;

  Viingilio vya pambano la Ngao ya hisani kati ya Simba na Yanga litakalopigwa Agosti 18 vimetajwa ambapo kiingilio cha chini ni 5000/=.  VIP A .........40,000/=
  VIP B..........30,000/=
  VIP C..........20,000/=

  ORANGE STRAIGHT 20,000/=
  ORANGE CURVED 10,000/=
  BLUE ROUND 7,000/=
  GREEN ROUND 5,000/=

  Hivi mechi itapigwa kwenye saa ngapi?
   
 10. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Itaanza saa 10:15 kwa saa za Afrika Mashariki. But your prediction wil be reversible!!!
   
 11. k

  kirongaya Member

  #11
  Aug 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yanga kuifunga simba itabaki historia tu, mpira umeshachezwa siku nyingi kesho ni kufuata matokeo tu. tatizo simba wana viongozi wajanja sana wa gemu na wana muda mrefu na uzoefu wa hizi mechi tulikua na yanga family sijui wameishia wapi mi naona njaa tuu tofauti na wenzetu ni viongozi wasio na njaa. mi sipotezi muda wa kwenda kupata maudhi yasiyoisha muda mrefu
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kikosi chenu hakina sumu, mkipata wa kuwa zibiti Uhuru, Mgosi, Okwi,shija,Humoud,Banka, Owino hao ni baadhi ya watakao leta raha msimbazi...Mungu ibariki Simba Sports Club ili Fidel80 asingie JF baada ya game....Amen
   
 13. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yanga timu, funga hao Simba 3-1, tumalize 'uteja' uliojengeka ktk siku za hvi karibuni...!
   
 14. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hata namna ya usajili inatia shaka mno, ni kama interview ya kazi ambapo mtu atakuja na vyeti FEKI,CV FEKI mradi tu apate kazi,akishaajiliwa tu mara naumwa ,mara mtatizo ya kifamilia kumbe kazi hawezi. Ndo kina Boakye hao wameptikana kwa interview wameonesha mpira wa kutafutia kazi. Kesho tunao mpaka kieleweke
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na Wakisha wasajili utasikia tume sajili bunduki kumbe magombole teh teh wasi wasi wangu wana weza wasipeleke timu uwanjani maana ndiyo tabia yao wakisha chungulia kwa Babu wakiona mambo siyo mazuri...........
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ushindwe, Utaje utaendelea ila msifukuze wachezaji safari hii..
   
 17. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa wanacheza na swaumu zao au huwa wanafuturu walau siku ya mechi?
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mzee kesho we subiri uone mziki wa watoto wa jangwani watakavyo fanya maajabu.
   
 19. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 20. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
Loading...