Unakumbuka hiki kikosi

phenomena

Member
Jul 12, 2010
20
0
1.mohamed mwameja
2.deo mkuki
3.alphonce modest
4.mustapha hoza
5.george masatu
6.hussein marsha
7.athumani china
8.juma amir maftah
9.madaraka suleiman
10.nteze john lungu
11.thomas kipese








na hiki kilimtoa zamalek kwao
1.juma kaseja
2.said sued
3.ramadhan wasso
4.boniphace pawasa
5.victor costa
6.christopher alex
7.athumani machupa
8.selemani matola
9.madaraka selemani
10.emanuely gabriely
11.yahya akilimali
 
Mkuu hicho kikosi cha kwanza unanikumbusha kipindi hicho cha miaka ya 94.Kipindi hicho redio ni radio tanzania peke yake.watangazaji wakiwa Juma Ngamia na Jongo.
 
Mkuu hicho kikosi cha kwanza unanikumbusha kipindi hicho cha miaka ya 94.Kipindi hicho redio ni radio tanzania peke yake.watangazaji wakiwa Juma Ngamia na Jongo.

Ni kipindi ambacho wengi walikuwa bado hawajawa mashabiki ya Man U na Arsenaliii!!! Enzi hizo mpira ulikuwa mtamu kwa kweli!
 
Hata kule zenji kulikuwa na Ridhaa Khamis, Leonard William, Salum Suleiman Baja,Ally Suleiman Diego,Issa Lambo,Juma Bakari Kidishi,Abdul Wakati Juma "father Kidevu" Innocent Haule,Othman Abdullah "Foreman"Abdallah Hussein Malaika,Ubwa Makame Mzunngu"Mr Free Kick" n.k n.k!!!
 
1.mohamed mwameja
2.deo mkuki
3.alphonce modest
4.mustapha hoza
5.george masatu
6.hussein marsha
7.athumani china
8.juma amir maftah
9.madaraka suleiman
10.nteze john lungu
11.thomas kipese








na hiki kilimtoa zamalek kwao
1.juma kaseja
2.said sued
3.ramadhan wasso
4.boniphace pawasa
5.victor costa
6.christopher alex
7.athumani machupa
8.selemani matola
9.madaraka selemani
10.emanuely gabriely
11.yahya akilimali

Moses Mkandawire,Kiwelu Mussa,Athman Maulid,Thobias Nkoma,Talib Hilal,Ramadhan Lenny, Sunday Juma, Mtemi Ramadhan,Zuberi Magowa, Zamoyoni Mogella; Hii Al Ahly waliumia pale Kirumba. Aah EPL unatuharibia,watu wanajifanya eti hawataki VPL sababu yako!! Inauma sana unapokwenda kuangalia mechi kati ya JKT Ruvu na Manyema unakuta mashabiki waliolipa kiingilio hawazidi 20!!
 
Back
Top Bottom