Liverpool Kushuka daraja msimu huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Liverpool Kushuka daraja msimu huu.

Discussion in 'Sports' started by Bujibuji, Aug 26, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,991
  Trophy Points: 280
  Timu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza itashuka daraja msimu huu kama itaendeleza u mdebwedo wake.
  Habari hii inaweza kuwa n jema kwa wapinzani wao Man United.
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hilo ni dua unaomba au ni mtazamo wako? Naona mambo bado sana. ushindwe ushindwe uregee na ujikojole na ujinyee
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu bujibuji naona kala mijusi for lunch
   
 4. g

  gutierez JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  ni mapema mno kutoa msimamo raundi ya pili kati ya 38,ila yote inawezekana ila bado mapema kwanza
   
 5. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Liverpool is way too good to go down, kuna vibonde kibao akina Wigan, West-ham, Blackpool etc.
   
Loading...