Umasikini wa tff | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umasikini wa tff

Discussion in 'Sports' started by kichenchele, Aug 25, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Hivi hawa TFF hawana malengo ya kutafuta vyanzo vingine vya kujipatia mapato zaidi ya kung'ang'ania mapato ya mlangoni ktk viwanja? Umefika wakati wa sekta hizi za michezo zipewe watu makini, wabunifu na wenye dhamira ya kukuza na kuendeleza michezo nchini badala ya hawa matonya waliopo.

  Mwaka huu nikiwa nafuatilia tiketi pale TFF za mechi ya Brasil na Taifa stars kulikuwa na danadana nyingi sana za uuzwaji wa tiketi hizi, nikapata kuzungumza na kiongozi mmoja akasema hizi tiketi zipo ndani ila kuna watu wanafanya mambo yao kwanza, na kuna mtu alitakiwa kwenda marekani kwenye semina lakini amekataa kwani ameshazoea kuiba tiketi.
   
Loading...