NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 598
Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu.
Karibu Ng'o.........aaaah jina gumu hata kuandika, lakini umepotea jukwaa!Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu.
Karibu Ng'o.........aaaah jina gumu hata kuandika, lakini umepotea jukwaa!
wewe lazima ni wa kule kwetu Maseru....karibu sana japo si jukwaa husika hili