Star Tv Ligi ya Wingereza

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Wakuu hivi Star TV wamepata Rights za kurusha Ligi ya Wingereza Live Bila Zengwe? Msimu huu raha tu
 
acha utani!!!!! if its true basi hiyo ni habari njema sana...wacha tufatilie tujue ukweli kabla ya jiono tukajimwage huku tukisubiri "wawa la maini-Liver" na "kamikaze-Man Sisters" (sory wadau wa City) wakiuana J3 katika big match ya Round 2...
 
Ndio hivyo maana matangazo yao ndio yanatangaza, na wametoa ratiba ya hadi oktoba! TBC1 sijui imekuaje msimu huu au wataonyesha Vodacom Premium League?
 
afadhali, labda wao watakua serious kuliko TBC,
Najua TBC katema kazi hiyo kwasababu WATAKUA bUSY NA kampeni za Kikwete Na ccm yake.
 
acha utani!!!!! if its true basi hiyo ni habari njema sana...wacha tufatilie tujue ukweli kabla ya jiono tukajimwage huku tukisubiri "wawa la maini-Liver" na "kamikaze-Man Sisters" (sory wadau wa City) wakiuana J3 katika big match ya Round 2...

Leo wanaonyesha ya Arsenal na Blackpool.
Kesho man na Fulham
Keshokutwa Liverpool na Kamikaze spenders
 
Ndio hivyo maana matangazo yao ndio yanatangaza, na wametoa ratiba ya hadi oktoba! TBC1 sijui imekuaje msimu huu au wataonyesha Vodacom Premium League?

Yaani afadhali hata wasionyeshe, Kuliko ilivyokua msimu uliopita wanasema wanaonyesha lakini hawaonyeshi. Mtu unabaki nyumbani kuangalia Mechi unaambulia kuona matangazo ya Rungu tu.
 
Kuna siku niliona matangazo yao kwamba wange onyesha Ligi ya Ujerumani lakini siku hiyo hawakuonyesha...ina maana wataonyesha Ligi ya uingereza na ujerumani.....
 
Nyie mwashtukia leo mwenzenu nishaona live ya fungua dimba jmosi iliyopita, jamaa wako juuuuu
 
Kuna siku niliona matangazo yao kwamba wange onyesha Ligi ya Ujerumani lakini siku hiyo hawakuonyesha...ina maana wataonyesha Ligi ya uingereza na ujerumani.....

Wanaonesha mashindano ya FA ya Ujerumani baba pamoja na hiyo ligi ya uingereza na nilisikia wanasema mechi zote za timu ya taifa ya Ujerumani zitakuwa LIVE ON STAR TV!
 
hawa jamaa wako safi vipindi vyao viko juu na wanamitambo mikubwa maana kuna baadhi ya TV stations hapa Bongo mpka kichefuchefu picha zinaganda kwenye screen utafikiri zilirekodiwa enzi za akina Chaburuma na kinjenkitire ngwale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom