mpaka dk hii zamalek inaongoza kwa bao 1,dhidi ya yanga.bao limefungwa na mido.katibu wa yanga anasema eti ilikuwa off side!refa akaacha tu!source.times fm.kipindi cha kwanza ndio kinakwenda ukingoni
mi ni mshabiki wa manchester!ilikuwa mechi kati man utd na chelsea!david luiz alitufunga bonge la goli mpaka japo umefungwa lakini unafurahia goli!je wewe siku gani timu yako ilifungwa goli zuri...
Kwa wale wapenzi wa soka ambao hawataweze kufika kwenye uwanja wa taifa siku ya jumapili basi waweza kutune Star tv kwani watakuwa wanafanya coverage ya mechi hiyo LIVE.
Habari hii nimeipata...
Hivi tatizo lenu nini? ulimbukeni au ndio bendera kufata upepo?? Nimesikia leo asubuhi RFA eti mashabiki wa soka Dar waliamua kuandamana kushinikiza kocha wa timu ya Taifa ajiuzuru atafutwe kocha...
Wandugu,
Naikumbuka sana Pistons ya 2003-2004, enzi hizo kuna kina Teshawn Prince, Ben Wallace, Rasheed Wallace, Chauncey Billups Nk ilikuwa ni balaa full kutupa raha washabiki. Hebu tukumbushane...
Hello JF members
Tarehe 26/2/2012 ni siku nyingine dunia itahamia hapa Kilimanjaro hususani Moshi mjini. Karibuni sana kwenye mashindano haya ambayo yanafanyika kwa mara ya 10 sasa. Inaweza kuwa...
Kwa upande mmoja naona Stuart amefanya chaguo sahihi hasa kutokana na nafasi anayo chezea "combative midfielder" pamoja na kwamba ataongoza timu yenye wazoefu wengi na inayofuatiliwa sana na...
Video: Kobe Bryant passes Michael Jordans All-Star record
Los Angeles Lakers superstar Kobe Bryant has played in 14 All-Star games in his career, enough to put him at third place (in a tie) on...
baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na...
ivi kweli gadiola ndo kamshindwa morinyo? inaonekana sasa bacelona inatoka kwenye mbio zakuusaka ubingwa wa hispania hawezekani uachwe point 3 mpaka zinafika kumi. hii ni aibu kwa kocha kama...
'' Mara tu baada ya mazoezi kabla ya timu kuelekea nchini Panama,kocha mkuu wa Sounders bwana Sigi Schmid aliniita na kufanya naye mazungumzo ya takribani dakika kama 20 hivi,kimsingi alikuwa...
Mechi kati ya taifa stars na DRC inakaribia kuanza hapa uwanja wa Taifa. Nitakuleteeni live up date. Nyimbo za taifa ndo zinzpigwa na sasa wimbo wa tanzania unapigwa baada ya ule wa Congo