siku ulipopigwa bao ukafurahia!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siku ulipopigwa bao ukafurahia!!!

Discussion in 'Sports' started by Mc Tilly Chizenga, Mar 2, 2012.

 1. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  mi ni mshabiki wa manchester!ilikuwa mechi kati man utd na chelsea!david luiz alitufunga bonge la goli mpaka japo umefungwa lakini unafurahia goli!je wewe siku gani timu yako ilifungwa goli zuri mpaka mwenyewe ukalipenda?
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wewe sio shabiki wa kweli wa Manchester united ila ni mamluki.
   
 3. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  mkuu tukishindanishwa ushabiki wa man utd mimi nina uzito wa tyson wewe rashid matumla!lakini hilo halinifanyi niwe kipofu nisione mambo mazuri wanayoweza kufanya wapinzani wangu!goli lile la luiz kama unalikumbuka ni kali mno!
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  nipe test yeyote itakayokuthibitishia mimi ni mshabiki wa man u kiasi gani!nasubiri challenge yako!
   
Loading...