Lianzishwejukwaa la michezo hapa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lianzishwejukwaa la michezo hapa JF

Discussion in 'Sports' started by Mwanajamii, Mar 4, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sisi wakereketwa na wafurukutwa wa michezo tunaoipenda JF tunaomba Mods waanzishe jukwaa la michezo  [h=3]SIMBA YAIFUNGA TIMU YA KIYOVU YA RWANDA 2-1[/h]

  [h=3][​IMG]Mchezaji wa timu ya Simba mganda Emmanuel Okwi kulia akijaribi kumtoka mchezaji wa timu ya Kiyovu ya Rwanda wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho katika ya timu hiyo na Kiyovu ya Rwanda unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii.
  Simba imefanikiwa kuiondosha Kiyovu ya Rwanda magoli 2-1, magoli ya Simba yamepatikana katika kipindi cha kwanza na yamefungwa na mshambuliaji Felix Sunzu akipokea pasi nzuri, kazi iliyofanywa na mchezaji Emmanuel Okwi wa Simba. Timu ya Kiyovu imefanikiwa kupata goli lake la kwanza katika kipindi cha pili cha mchezo huo, hata, Simba imefanikiwa kusonga mbele katika mashindano hayo ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,
  [​IMG]Wachezaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi na Felix Sunzu wakishangili mara baada ya mchezaji Felix Sunzu kufunga goli la pili kati ya magoli mawili aliyofunga
  [​IMG]Timu zikiingia uwanjani kabla ya kuanza kwa mchezo huo jioni hii.
  [​IMG]Mashabiki wa Simba wakishangilia kwelikweli wakati timu hizo zikicheza.
  [​IMG]Kulikuwa n a kila shamrashamra kwa mashabiki wa Simba kama unavyowaona katika picha.
  [​IMG]Hii inaashiria kwamba kama matokeo yatakuwa hivihivi mana yake ni kwamba Simba itaendelea kukwea Mwewe yaani Ndege kwa ajili ya kushiriki raundi ya pili ya michuano hiyo.
  [/h]
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [h=3]Watani Zangu Poleni Sana[/h]

  [​IMG]
  Timu ya Yanga kutoka Tanzania imepata kichapo cha goli moja kwa bila na timu ya Zamalek ya Misri leo , katika mchezo uliofanyika nchini humo jioni ya jana ikiwa ni michuano ya Klabu Bingwa Afrika, wiki mbili zilizopita hapa jijini Dar es salaam Zamalek iliilazimisha Yanga kwa kufungana goli 1-1 kwenye uwanja wa |Taifa kwa matokeo ya leo ina maana Zamalek imeifunga Yanga magoli 3-1 na kuitupa nje ya mashindano hayo.
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 5,791
  Likes Received: 2,180
  Trophy Points: 280
  Mbna hueleweki...na hili ni gan......
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,257
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  Nina shaka na ukereketwa na ufurukutwa wako wamichezo hapa JF....

  Sports
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  musamehe bure huyo atakuwa ni mgeni au sio mzurulaji humu jamvini..
   
 6. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,664
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Mkuu nawe umechemka sana,kwani jukwaa la michezo si ndiyo hili. Au nimekuelewa vibaya?
   
Loading...