Simba/Kiyovu Live update! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba/Kiyovu Live update!

Discussion in 'Sports' started by Chereko Chereko, Mar 4, 2012.

 1. C

  Chereko Chereko Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  full tym results:

  SIMBA 2 - 1 KIYOVU

  Simba sasa kukutana timu toka Algeria. Maandalizi yaanze mapema kuwatoa waarabu.

  Hongera Simba, kazeni buti vijana!!
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kila la heri mnyama....
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,472
  Trophy Points: 280
  kila la kheri mnyama
   
 4. C

  Chereko Chereko Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masaa machache yajayo kitaeleweka kama SIMBA ndio dume la soka upande huu wa kanda ya Afrika Mashariki na kati.

  Go......go.....SIMBA go!!!
   
 5. C

  Chereko Chereko Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona leo uzalendo uko matawi ya juu, hamna shabiki wa yanga aliyevaa jezi za wapinzani wa Mnyama SIMBA!!!

  SIMBA 0 -0 KIYOVU
   
 6. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya wana LION
  GOAL 3 NA kusonga mbele.
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Simba imara;yanga makopo؛jana wamakiona cha moto leo tutawafundisha futbol
   
 8. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tunanua jezi kibao tupo hapa kariakoo tunakuja utatuona! Hakuna cha uzalendo wala nini!
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wanazo kwenye Mabegi yao Ngoja tufungwe uone. Hawawezi kuzonesha kwa sababu hawaiamini sana Kiyovu
   
 10. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180

  mkuu saint
  ile mechi ya kigali nilifanikiwa kuiona ukweli halisi awataki kusema
  simba alikuwa ashine ile mechi kiyovu sio wazuri kihivyo....kipindi cha pili jamaa walijiamini sana sana
  ukiangalia utaoona kipindi cha pili akukuwa na umuhimu wa kumwacha mafisango aendelee kucheza wala sunzu..matokeo yake sub ya kocha ndio iliowaumiza simba walikuwa kama wamelogwa akawatoa watu waliokuwa wanacheza vizuri nakuwaingiza mabomu mwisho wa siku ukiunganisha na wakina sunzu waliochoka na mafisadngo aliekuwa kama kamwagiwa maji ya ffu anavyotulia sehemu mmoja waakanza kuwaonyessha mpira ndipo goli lapili likaja

  sisemi vibaya nawaombea kila la kheri ingawa ntawaangalia kwenye runinga niko nkoani kidogo ukweli
  kama watachemsha kwenye kufanay sub hakika kiyovu mtatoka sare hata ya mbilimbili na mwisho kuungana na kandambiili..pamoja na hayo wachezaji wa simba lazima wajue jinsi ya kujituma wachezaji wengi awataki kujituma mtaona wanaposhinda wanakuwa kama mabwege hiyo hali inatakiwa kubadilika kwa kila wachezaji wa tanzania na sio simba tu

  wish u all the best
   
 11. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Myama afe tu! Inanikumbusha kitabu cha zama primary meli ilikuwa inazama mtu mmoja akawa anasema kwa kiruga ambacho sijui tafsiri, "omusoke omusoke,twahwelela", ndivyo simba watakavyolia leo! Nawahi bar!
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haya simba nawaombea mshinde, msije kutolewa kama sisi.
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Mungu ibariki SIMBA.
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  My best wishes to Kiyovu!
   
 15. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Kila la heri watani......

  Tupo pamoja leo......Utaifa kwanza....
   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tunaomba hizo update jamani
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naichukia Simba Kama nisivyoipenda CCM!
   
 18. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  na MALARIA SUGU
   
 19. M

  Masuke JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Simba wanaongoza kwa goli moja, mfungaji Felix Sunzu.
   
 20. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kiyovu wako njema si mchezo:
   
Loading...