Simba kama mtaendekeza hili wallahi mtanawishwa na kiyovu

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Wapendwa wangu
simba timu yangu ushindi jadi yetu..naomba tuache usimba na uyanga tushabikie timuyetu
ukweli halisi kama mtaacha wachezaji maarufu kubaki uwanjani huku wakiwa awafanyi la maana nawahaakikishia mtaaibishwa ndugu zanguni...muwe makini sana msiangalie umaarufu wa mtu kama mpira umemkataa akuna haja ya kumwacha uwanjani mkiendekeza hili aibu yetu aibu yenu
kila la kheri
 
mkuu ondoa shaka, Simba hii ya sasa iko makini. Ina watupia nyavu hatari. Hakuna jina kubwa ambalo liko hovyo kwenye 1st eleven hii ya mnyama
 
Back
Top Bottom