Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tangu kuondoka kwa Tido Mhando TBC imeshindwa kuonyesha au kutangaza live mechi za timu ya soka ya Tanzania,inasikitisha sana pamoja na kuendeshwa kwa kodi zetu lakini imekua ikihusika na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FIFA.com - 2014 FIFA World Cup? - African preliminary competition
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Floyd Mayweather's time to head to jail has come, but will any lessons come of it? By Kevin Iole | Yahoo! Sports – Thu, May 31, 2012 9:16 PM EDT LAS VEGAS – In January, June 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Liverpool fans make their way into Wembley Stadium for the FA Cup final.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ebu sikilizeni iki kibao pamoja na kuwa na mapungufu ya idadi ya wachezaji waliocheza kutokana na mtangazaji(mwimbaji) akiwataja ni 16. Huu wimbo uliimbwa kwa ajili ya kuwaomba wachezaji wa Timu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jamvi hii mech hapo juu inaonyeshwa kwenye television channel ipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jf, kuna stesheni yoyote ya Tv za hapa Bongo itakayorusha matangazo ya 1 kwa 1 (live)? Mwenye taarifa aweke hapa tafadhali.
1 Reactions
0 Replies
875 Views
Ni mechi ya kwanza ya Kundi D katika michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2014 kati ya Ghana na Lesotho, inayoendelea katika uwanja wa Baba Yara mjini Kumasi ambayo imevunjika kutokana na kuzimika kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Revealed: Why Chris Eubank gave away his sons to a virtual stranger He has a look of his pugilist father and packs a mean punch, too. At the Top Rank boxing gym, a few yards off the brightly lit...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jf nimekuwa nikisikia sana mchezaji fulani amefunga goli kwa hat trick... Naomba kufahamishwa kufunga kwa hat trick ni goli la aina gani?..... na nini tofauti yake na offside trick?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wanajamvi kwa sasa ligi nyingi zimekwisha, tarehe 11 june mtanange unaanza. Hapa tuhabarishane kwa kila kinachojiri. Tuambiane TV gani kwa bongo itarusha au zile link za bure wewe tupia hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habari zenu. Jamani naomba kwa anaejuwa saa za Warsaw Poland 2am na 445am kwetu TZ inakuwa ni saa ngapi maana mechi zote zitachezwa muda huo. Nawasilisha.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
...Simba Sc...iliyokuwa chini ya mbunge wa Tabora Mjini...Aden Rage..imekuwa na Mipango mingi sana toka waingie madarakani...mipango hiyo... mabayo mingi iliwekwa Hadharani...naikumbuka michache...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni maneno ya bwana Mario Balotelli kuwa hakika ikitokea mtu akamrushia nditi akiwa mtaani kwa ishara ya ubaguzi basi ataenda jela kwakuwa atamuua huyo atakayefanya hivyo. Link ni BBC Sport -...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
t's not often we start off our paper round-up with a rumour from the continent, but when the news in question is a £120 million bid for Wayne Rooney we'll make an exception. You read that right...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchezaji mweusi wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Man City,Mario BAroteli amesema ataondoka uwanjani endapo kutakua na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika michuano ijayo ya EURO,,,,ambayo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwani kuwa na kocha mzungu imekuwa fasheni? Mpeni timu Felix minziro analijua soka la bongo na mazingira yetu na anauchungu na timu yetu kuliko hao wahindi
0 Reactions
12 Replies
2K Views
BBC Sport reports that Brendan Rodgers has agreed a deal to become the new manager of Liverpool Football Club. The 39-year-old will sign a three-year contract at Anfield and his appointment is...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Belgian superstar has delivered a snub to Premier League champions Manchester City and their rivals Manchester United by opting to join the Stamford Bridge club By Greg Stobart May 28, 2012...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, Zaidi ya timu za mpira 20 nchini italia zitataarifiwa kuwa zinatakiwa kuchunguzwa baada ya tuhuma za kupanga matukio kufikia hatua mpya. …alivyokaa utadhani kafungwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…