Yanga haina hoja katika hili.

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.

Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?
 
voda=simba

Hii itawatesa sana......hata hapa JF ipo.....nagalia chini kabisa

jfsms5.jpg
 
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.

Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?

mmmmmmhhhhhh hili nalo neno..sosi H.E JK
 
wewe ni simba au yanga?kwanini wakubali ?sio yeye bali kamati nzima hawakubaliani na hilo,kesho mtu atakuja na hela atasema badilisha dini jee utabadili din:A S 465:i?
 
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.

Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?
umetumwa na shafii au edo
 
Wazee wa Yanga ni wa kupongezwa na kuungwa mkono, kinachokosekana kwa viongozi bongo ni msimamo na kusimama katika mstari. Yanga ni Kijani/njano/nyeusi ndio rangi zao na yeyote anawajibu wa kurespect, mambo ya mtu kuwapa pipi na kuwaelekeza nini cha kufanya sio poa kabisa.

TBL ni kampuni kubwa na imekuwa bongo na sisi kitambo na respect kwao kwa hekima na ndio maana wamekubali logo ya kilimanjaro lager iwe hivyo ilivyo. wametoa vitu vikubwa kuliko vodacom. Vodacom hawana mkataba na Yanga wanamkataba na TFF. Na hao TFF baada ya kutetea maslahi ya klabu wanamtetea bwana wao Voda, yaani viongozi wa kiafrika wanatia hasira kabisa na ole wao waifute yanga minara yote ya voda itakwenda chini manake wazee wametumia tafsida na hiyo logo tutaiwekea bifu mpaka watawajua vijana wa kiafrica wakiwa afrika sio sawa na wakiwa ulaya.

Yanga ni taasisi kubwa ya waafrika kuliko voda ni taasisi ya kibepari na unyonyaji tu na ipo kunyonya watu, sidhani kama wangedhamini ligi nyingine kwa mkataba mbovu kama huo, ni rushwa tu na kesho utasikia wanajina lingine na Yanga itaendelea kuwa Yanga.
 
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.

Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?

Hapo kwenye blue huyo mzee jina lake na akili zake ni tofauti kabisa! ana fikra mgando! wakati wa kumtoa Nchunga alisema ana milioni 700 za usajiri.
Jana amesema ni bora yanga wahamie ligi ya ZNZ ama wacheze bao kuliko kuvaa nembo nyekundu ya vodacom!
 
kwani yeye ndio huwa anaongea huwa wanamsemelezea watu...
 
Nawaunga mkono wazee wa Yanga kwa hili. kwanini tubadilishwe utamaduni wetu kwa peremende? Tufike wakati tuthamini utu wetu kuliko pesa.
Yanga mbele daima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom