Coastal Union vs Mtibwa Sugar

Coastal Union vs Mtibwa Sugar

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
CONTEST: VODACOM PREMIER LEAGUE
VENUE: CCM MKWAKWANI, TANGA
KICK OFF: 1600 EAT
Comments: Stay in touch for live updates

==================
==================
FT: CUSC 3 - 1 Mtibwa
 
For more live updates:
m.facebook.com/CoastalUnion?ref=stream&refid=8&_ft_=qid.5801358379206513139%3Amf_story_key.5116240035002348049
 
Game inayoendelea sasa hivi Mkwakwani ni Coastal Union B vs Simba B
 
Mabingwa wa ligi daraja la kwanza (sasa ligi kuu) 1988,Coastal Union inshuka dimbani kukwaana Na Mtibwa sugar ya Turiani Morogoro ikiwa ni mechi yake ya nane baada ya kufungwa mchezo mmoja tu na kutoa sare nne na kushinda michezo miwili.Timu ya Coastal Union tunahitaji ushindi leo ili kuwakikisha tunakuwa nafasi za juu baada ya kutopata ushindi mechi tatu zilizopita.Mechi ina tarajiwa kuchezwa leo Katika Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga.
 
Coastal Union B 1 - 2 Simba B, game inaendelea hapo Mkwakwani.
 
Afu huyo mbrazili wenu vp?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Afu huyo mbrazili wenu vp?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mbrazili is around the corner.
Anaitwa Gabriel Barbosa, anavaa jezi no. 13 na jina lake tayari lipo TFF kwenye package ya wachezaji wa kigeni wa VPL.
 
Mchezo wa utangulizi kati ya Coastal Union B na Simba B umemalizika muda mfupi uliopita.
CUSC B 1 - 2 Simba B, goli la Coastal limefungwa na Muhamed Miraji Mtindi.
 
Coastal Union
Tupo Live Kutoka Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga
Vodacom Premier League 2012/2013
Coastal Union Vs Mtibwa Sugar

N.B Endelea kufuatiliia comments zetu kujua kinachoendela hapa Uwanjani
 
Dakika ya 6 ya mchezo.
Coastal Union 1 - 0 Mtibwa
Juma Jabu kutoka kwenye set piece anaipatia CUSC goli la kuongoza.
 
Dakika ya 30, matokeo bado ni yale yale.
 
Half time.
Coastal 2 - Mtibwa
Magoli ya CUSC yamefungwa na Juma Jabu na Daniel Lyanga
 
Kipindi cha pili kimeanza hapa Mkwakwani
 
Dakika ya 70
Coastal Union 2 - 1 Mtibwa Sukari
 
Back
Top Bottom