Teh teh teh,atimae VODACOM wameufyata mkia kwa YANGA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teh teh teh,atimae VODACOM wameufyata mkia kwa YANGA!

Discussion in 'Sports' started by CHAI CHUNGU, Oct 19, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Waambiwa wachague nembo ya kudumu kati ya.
  Njano,kijani na nyeusi.
  Wasema walikua hawajui kama rangi hizo ni utambulisho wa mwafrica na africa.
  1.Kijani-sura ya africa.
  2.Njano-Madini
  3.Nyeusi-Mwafrica
   
 2. j

  joel amani Senior Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walikuwa wanabeep kwa yanga walidhani ni simba wafyata mkia,naipongeza yanga kwa msimamo wao
   
 3. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza VODACOM kwa kutumia busara na kuepusha makanisa mengine kuchomwa moto.
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,289
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Wanatapatapa tu hao kandambili.
   
 5. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mdhamini anaewafaa yanga ni CHAI JABA TUUUUUUUUUUUUU.

  MANAKE HAWATABISHANA KUHUSU RANGI...! WOTE WANATUMIA RANGI ZINAZOFANANA.

  AU NEC YA SISIEM.
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mpira hawajui wanagombania nembo kweli timu iliyozaliwa kisiasa haitaacha siasa.
   
 7. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nyie wote ni simba tuu ,lakini hiki hakiwahusu au mpaka muambiwe ya kua pilipili ya shamba inawawasha nini?wasaalaam.
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  We ni Simba ehe!
   
 9. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Yanga for african mi ananifurahishaga sn mze akilimari, yanga africans msimamo A
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jina langu si unaliona hapo,mimi ni shabiki wa simba.
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Nawapongeza Vodacom kwa busara ya hali ya juu,kumaliza hilo suala dogo tu na linazungumzika!
   
Loading...